Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Hivi yuko wapi yule aliyesema "mtu hawezi kutusaliti kwa mabeberu halafu akasavaivu"? Nakumbuka kesho yake kuna mwili wa mtu ulimiminiwa risasi 16!

Mungu si wa mchezomchezo hata kidogo.
 
kama kweli mbinguni kuna HAKI ya hukumu huyu maza kwa sasa ni kuni.
 
Vita ya Goliath na Daudi imekwisha - Goliath yupo KABURINI na Daudi yu HAI...
 
Sisi kwetu raha tu..!💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽🕺🏽
 
ZITO alimkomesha huyu mzee kwa KULA UTAMU WA bintiye na kujaza MIMBA kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…