Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kwa huyu Mama Ni kuwa yy Ni kiongozi was dini ni tofauti na mtu aliye tamka Zitto kuuawa.kama kiongozi wa dini alipaswa kulikemea na siyo kushangiliaRwakatare is a bufoon.
Lakini, kwa nini aliyeshangilia habari za Zitto msaliti kuuawa anakuwa habari kubwa kuliko aliyesema habari za Zitto msaliti kuuawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa........ Hasira za nyumbani wamezihamishia bungeni!aisee... kumbe zitto ni mkwe wake? basi bulembo atakua ana laana flani
BuLembo aweza kuwa na hasira kuwa labda kamwachia mwanae maradhi.aisee... kumbe zitto ni mkwe wake? basi bulembo atakua ana laana flani
Tatizo mmempaisha sana kiongozi wa dini wakati na yeye ni mtu tu.Tatizo kwa huyu Mama Ni kuwa yy Ni kiongozi was dini ni tofauti na mtu aliye tamka Zitto kuuawa.kama kiongozi wa dini alipaswa kulikemea na siyo kushangilia
He is very wrongHahahaaaa........ Hasira za nyumbani wamezihamishia bungeni!
kwa huyu hakuna cha maandiko, ni mjasiriamalli wa injili tu usipo angalia wewe ndo utapotea.Kwa hiyo akubali kuuwa akiwa nje ya madhabahu? Kwanini mnakuwa wajinga kiasi hiki.kwa hiyo kuwa mwaminifu kwa MUNGU ukiwa madhabahuni tu?. MNAPOTEA KWA KUTOJUA MAANDIKO
Bulembo anamuonea wivu Zitto kuwa anamfaidi sana mtoto wake.aisee... kumbe zitto ni mkwe wake? basi bulembo atakua ana laana flani
Tumbo kwke kwanzaIkumbukwe Zitto amwzaa na kumuoa Binti wa Mh. Bulembo ambaye pia ni mbunge wa vitu maalum Halima Bulembo. Kwanini huyu mzee aende hatua ya kutaka mkwe wake auwawa?
Yapi hayo?BuLembo aweza kuwa na hasira kuwa labda kamwachia mwanae maradhi.
HII SURA KUNA USALAMA?
View attachment 1344481
Enhee Chief, tema cheche nyiye hamko mbali na maono. Kwa hiyo mzee Bule alikuwa na yeye anachungulia mayai yake????
Wewe weka ile sura yako soft tulete posaBuLembo aweza kuwa na hasira kuwa labda kamwachia mwanae maradhi.
HII SURA KUNA USALAMA?
View attachment 1344481
Kabisa ndugu.maana wanajionyesha kwa matendo yaokwa huyu hakuna cha maandiko, ni mjasiriamalli wa injili tu usipo angalia wewe ndo utapotea.
Pia Bulembo anataka wanaccm wenzake wasimshuku kuwa ana ukaribu na mkwe wake ndiyo maana anapitiliza hadi anatangaza kutaka kumuua ZittoEnhee Chief, tema cheche nyiye hamko mbali na maono. Kwa hiyo mzee Bule alikuwa na yeye anachungulia mayai yake????