Dah kuna wale wadada wanasuka mapande matatu makubwa mistari ya kawaida tu nahisi waongezea na rasta ,wanapendezaga hatari.
Wa hivi wanapendezaga mno , sisi wanaume ndio tunajua wewe tulia.Na wewe ubahili tu ndio unakusumbua.
Sina biashara.Biashara yako ipo wapi, nije kuzoa bidhaa/huduma bure?
Wanawake hua HAWANA AKILI sasa lijinga lenzao linapenda vikubwa Hali duni eti waziri aangalie, shenzi Ali iwehe ??!Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Ndio maana umemsupport huyo mwizi.Sina biashara.
Dharula ni kitu gani?Ndio maana umemsupport huyo mwizi.
Kama alikua na nia ya kulipa ila akapata dharula alitakiwa kuongea na hao wasusi kwa upole na kuweka dhamana kitu chochote ili aje kulipa pesa baadae kuliko kutaka kukimbia kama alivyofanya.
Sawa.Ndio maana umemsupport huyo mwizi.
Kama alikua na nia ya kulipa ila akapata dharula alitakiwa kuongea na hao wasusi kwa upole na kuweka dhamana kitu chochote ili aje kulipa pesa baadae kuliko kutaka kukimbia kama alivyofanya.
Dharura bhanaDharula ni kitu gani?
Wataiogopa wezi kama huyo, wenye pesa zao wanaiogopaje Mkuu.Huyu dada hajafanya vizuri. Huo ni uhalifu. Ila wenye saluni nao ni wapumbavu kwa kuchafua brand yao kipuuuzi. Wateja wataiogopa hiyo saluni.
Mmoja alinyolewa upara miaka hiyo huko mabibo. Ana nywele zake ndefu tu akaenda saluni kusetiwa safi, wakati huo alishasema anatoka katika familia moja maarufu maeneo hayo wakamuamini. Baada ya kupendeza akawaambia anakwenda kuchukua pesa. Walivyoona harudi wakaenda kwa wenye nyumba ambao walikana kumfahamu. Baada ya wiki si akajisahau kupita mitaa ileile. Walivyomdaka walimnyoa nywele zote.Serikali yenyewe haisamehi makosa. Ndio maana tusipolipa bill tunakatiwa maji na inaongezeka faini juu, kwenye kosa la barabarani traffic wanatupiga fine..
Bila kumpa adhabu binadamu ataleta mchezo sana