Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Na wewe ubahili tu ndio unakusumbua.
Wa hivi wanapendezaga mno , sisi wanaume ndio tunajua wewe tulia.
IMG-20250226-WA0000.jpg
 
Sina biashara.
Ndio maana umemsupport huyo mwizi.
Kama alikua na nia ya kulipa ila akapata dharula alitakiwa kuongea na hao wasusi kwa upole na kuweka dhamana kitu chochote ili aje kulipa pesa baadae kuliko kutaka kukimbia kama alivyofanya.
 
Dharula ni kitu gani?
 
Sawa.
 
Sasa hapo Gwajima anahusikaj, kwani ameumizwa, au kuvuliwa nguo au unataka tu tuchangie hata nyuzi za hovyohovyo
 
Mimi naamini watu ni waelewa, pengine alikua na pivo za kiwaki, au ndo tabia yake wakuu wakaona wamnyooshe
Lakini kwanini uende saloon huna pesa? Apigwe na TOPAZ ang'are kidogo
 
Serikali yenyewe haisamehi makosa. Ndio maana tusipolipa bill tunakatiwa maji na inaongezeka faini juu, kwenye kosa la barabarani traffic wanatupiga fine..

Bila kumpa adhabu binadamu ataleta mchezo sana
Mmoja alinyolewa upara miaka hiyo huko mabibo. Ana nywele zake ndefu tu akaenda saluni kusetiwa safi, wakati huo alishasema anatoka katika familia moja maarufu maeneo hayo wakamuamini. Baada ya kupendeza akawaambia anakwenda kuchukua pesa. Walivyoona harudi wakaenda kwa wenye nyumba ambao walikana kumfahamu. Baada ya wiki si akajisahau kupita mitaa ileile. Walivyomdaka walimnyoa nywele zote.
 
Ilitakiwa wamnyoe kipara.... Lakini ningekua eneo la tukio ningemlipia
 
Back
Top Bottom