Ndio.Umezungumza na Mungu kuhusu hayo Malipo?????
Sio minywele ya mtu ila ni minywele yako.πππYani waziri ana kazi ya kutulindia wtt wetu ahangaike na minywele ya mtu jamani...
Kuna wanawake wakinyoa hupendeza sana lkn hawajiamini kama wanapendeza. Wengi wamekariri kusuka mitindo complicated ndio kupendeza.Asichukie, aendelee kunyoa tu bado atapendeza.
Huyu nae,aliendaje saloon bila hela..anadhani kazi nyepesi hiyo,?π€
Hao nao,Nini kumnyoa mwenzao...si wangemwambia afumue tu mwenyewe kabla hawajamfanyia umafiaπ
Tena mitindo inayoishia kuwatengenezea komweKuna wanawake wakinyoa hupendeza sana lkn hawajiamini kama wanapendeza. Wengi wamekariri kusuka mitindo complicated ndio kupendeza.
Dawa ndio hiuoWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Mpuuzi huyo dadaWakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Kwann utoke nyumbani kwenda kusuka ukiwa huna pesa?Wakuu,
Hivi ni kwamba wanawake hawapendani au imekaaje hii.
Huyu dada alienda saluni, ikatokea tu hana hela wakaamua kwenda kumnyoa na kumrekodi kabisa.
Dkt. Gwajima D tunaomba uitazame hii
View attachment 3250374
Dawa ya deni kulipaWakuu,

Ww nae usinichimbe...Sio minywele ya mtu ila ni minywele yako.πππ
ππTena mitindo inayoishia kuwatengenezea komwe