Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Mzungu ndiye race bora kuliko zote hapa dunianiAcha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Lengo ni kufikisha ujumbe kuwa anahitaji msaada. Kuna binadamu gani analia 24 hours??Kisaikolojia: ANADANGANYA sijui dhumuni lake nini behind this. hiki kilio ni cha uongo 100%
Hakuna race iliyobora kuzidi mwenzakeMzungu ndiye race bora kuliko zote hapa duniani
Wazungu wana roho za utu sanaWaarabu hata wa kwetu Tanzania ni wabaguzi sn... kwanza ni vigumu sana kumkuta binti wa kiarabu ameolewa na ngozi nyeusi ila ni rahisi mno mwafrika kumuoa Mzungu... Popote walipo Waarabu sio watu Wazuri...
Tunapozungumzia roho njema ama mbaya, huwa tunazungumzia kuanzia 51% kwenda juu.Mbona waafrika walimuacha Gadaf anauwa pekee wamesaidia nini.
Tabia njema au nzuri haina race
Hatuna ubalozi Iraq, lakini anaweza kupata msaada toka ubalozi wa Uingereza. Maadam yeye ni Mwananchi wa Tanzania ambayo ni Nchi mwanachama wa Commonwealth na UK ndiye Kiranja wake, ni rahisi kupata msaada. Ushahidi upo watu wamesaidiwa kurudi Tanzania kupitia UK Embassy.Na bahati mbaya nasikia hatuna ubalozi wetu huko,sijui msaada atapata wapi?
KabisaKama anaigiza vile
Wanaenda mkuu sema huwasikiiMbona kina dada wa Arusha na Moshi huwezi kuwasikia wameenda huko uarabuni?
Hata na mie haya mambo ya watu kufichiwa passport na waajiri wao nimeyasikia kitambo lakini mpaka leo bado watu wanaenda.Ila hawa watu nao jamani khaaa,. Tangu niko mdogo nasikiaga tu wakilalamika hivihivi sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao.. Kwani kazi sehemu nyingine zenye usalama hakuna ??
Yaani inasikitisha sana aiseeWalishanyweshwa maji
Huenda walishakuwa manipulated kuwa ukifika huko basi shida zako zote umemaliza
Yaani sijui huwa wanadanganywa na nini au ndio ugumu wa maisha hata nashindwa kuelewa,. Maana matukio ya watu kunyanyaswa ni mengi mnoo na tumeanza kuyaona toka zamani 2016 huko nnakuendelea lakini watu bado wanaenda,. Tena huyo kaenda 2022 si juzi tu hapo means hakuwa hata na wakumshauri jamani???,Hata na mie haya mambo ya watu kufichiwa passport na waajiri wao nimeyasikia kitambo lakini mpaka leo bado watu wanaenda.
Tena kama ni tangia 2022 mpaka leo ana moyo wake kwenye upande wa uvumilivu aisee.
Na mimi nimeona hivyoKama anaigiza vile
Mgerasi kuwa na hurumaUnalia nini na hawataki kukoma