DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kudadadeki. Nini kinakufanya uamini Waarabu ni ndugu zako? Hata baada ya kuona huo ukatili bado tu unaamini ni ndugu zako?
Huko Iraq wapo pia wakristo,na wapo wasio na dini.Hata huyu dada sio mislamu,mwanamke wa kiislamu hakai kichwa wazi.
 
huyu atakuwa amepeleka uswahili kwenye kazi za watu (ubishi na ujuaji) ndio wameamua kumnyoosha sasa anaanza kusumbua watu!
Hapo ndio kwenye shida, kazi ya house girl ukishareport kazini kurudi ni baada ya mwaka au miaka miwili ndio unapewa ticket ya safai. sasa ukianza uswahili ya ooh Mama anaumwa au naomba ruhusa nimefiwa shida ndio zinaanzia hapo
 
Acha kulamba makalio ya binadamu wenzako wewe masikini na mtumwa wa akili. Tabia na race ni mtu na dada sababu race ni kundi la watu linalo-share tamaduni.

Acha kuandika upuuzi na kutetea hao kima watumia vyoo.
Tumia akili,huyu anaficha ukweli,kuna jambo bzya amefanya,hasemi,vipi watu watumie ghrama za kukusafirisha kikazi,halafu ukatae kazi.Wengi wakifika kwenye kazi,wanakuwa wavivu,hawafanyikazi.Mbona wengi,wasio wavivu,wamerudi na pesa za maana,na kujenga mpaka maghorofa,na kupata mitaji.
 
Hapo ndio kwenye shida, kazi ya house girl ukishareport kazini kurudi ni baada ya mwaka au miaka miwili ndio unapewa ticket ya safai. sasa ukianza uswahili ya ooh Mama anaumwa au naomba ruhusa nimefiwa shida ndio zinaanzia hapo
Huu ndio ukweli,wengi wakipatiwa kazi wanazichezea,mwajiri katoa gharama ya kukuleta kwenye kazi,unaleta ujuaji,ndio maana nchi nyingi,wanachukuwa,wahindi kwa kazi.
 
  • Wote humu tukiamua kila mmoja kumchangia kiasi cha 1000, si anakodi ndege na kurudi nyumbani huyu?
  • Tuanze, nani anayepokea mchango?
 
Warabu ni mbwa hapo usikute kuna mengi ya sirini hajasema maana jamaa wanafanyiaga ukatili wa kijinsia wadada wa kazi
 
Mzungu ndiye race bora kuliko zote hapa duniani
Race hii hii inayosapoti ushoga na usagaji.
Race hii hii iliyoanzisha WW 1 na WW 2.
Race hii hii iliyosababisha Great Economic Depression.
Race hii hii iliyoilipua Japan kwa nuclear.
Race hii hii iliyowafanya watu weusi kuwa watumwa.

Kuwa serious mkuu. Hakuna Race bora zaidi ya mwenzake.
 
Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
Hakika you are NOT ''the dumb professor''. Kwanza mtu unakwendaje Iraq kufanya kazi? Kweli kabisa unachukuliwa nyumbani kwenda Iraq kufanya kazi tena ya ndani? Video za aina hii ziko nyingi sana na zinatokana na hawa watu wa Mashariki ya Kati, hasa waarabu kuchukulia wafanyakazi wa kiafrika kama watumwa. Kwao mwafrika hasstahili kula chakula wanachokula wao. Kna mmoja alisema mwajiri wake alikuwa anakwenda kujisaidia halafu akimaliza kukata kimba anatoka chooni na kumwambia aka-flush.
 
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Kuna dada mmoja wa kitanga alimsokomezea mti wa fagio sehemu za siri mfanyakazi wake wa ndani. Haya mambo hayana uarabu
 
Mbona waafrika walimuacha Gadaf anauwa pekee wamesaidia nini.
Tabia njema au nzuri haina race
Mwarabu ni takataka wale mbwa koko
Mashetan Kiboko yao Israel na marekan fyeka fyeka yote hawana maana dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…