physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Huko Iraq wapo pia wakristo,na wapo wasio na dini.Hata huyu dada sio mislamu,mwanamke wa kiislamu hakai kichwa wazi.Kudadadeki. Nini kinakufanya uamini Waarabu ni ndugu zako? Hata baada ya kuona huo ukatili bado tu unaamini ni ndugu zako?