Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
HahahaAdriz maaaras
Nyau de adrizAdriz maaaras
Tega sikioKwanini hatuwasikii?
Wewe kuwa na adabu, hivi haujui kufanya kazi omani au kwa muarabu ni suna ?Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
ALIE IBA DAWA ZA HUYU MGONJWA AZIRUDISHE.Wewe kuwa na adabu, hivi haujui kufanya kazi omani au kwa muarabu ni suna ?
UVivu tu pambana huko.. huku hakuna kazi.Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.
Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.
Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.
Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.
Yaani sijui huwa wanadanganywa na nini au ndio ugumu wa maisha hata nashindwa kuelewa,. Maana matukio ya watu kunyanyaswa ni mengi mnoo na tumeanza kuyaona toka zamani 2016 huko nnakuendelea lakini watu bado wanaenda,. Tena huyo kaenda 2022 si juzi tu hapo means hakuwa hata na wakumshauri jamani???,
Inatia hasira sometimes
Hakuna cha uswahili hapo, nenda wewe basi kawaoneshe uzungu wako na ngozi yako nyeusi kama hawajakutumbukiza kwenye shimo la takahuyu atakuwa amepeleka uswahili kwenye kazi za watu (ubishi na ujuaji) ndio wameamua kumnyoosha sasa anaanza kusumbua watu!
Mbona wanamruhusu kwenda kutembea? Halafu hiyo clip ndiyo inadhihirisha nini?Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.
Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.
Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.
Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.
Yupo Iraq kweli!??Wakuu,

Hakuna mkristo mwenye roho nyeusi kama hiyo ya kufahya hivyo unyama kama huoKatika keso yoyote,lazima usikize pande zote mbili.Huko Iraq,pia wapo waarabu wakridto na pia wapo wasio na dini.Hata huyo sio muislamu,ni.jina tu,midlzmu mwanzmke hakai kichwa wazi
Hana lolotr huyo mzee mvaa kobazi tu
Ila Tanzania ina matahira daah nimecheka sana etii ππππ bobiii...mbona hasemi kama ,amekuwa mke wa bobi wuwuwu wuwuwu
kabisa kabisa anaenda Iraq? aliyemtafutia kazi nani?
Uongo mkubwa sana acheni kupotoshaAcha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Hahaha,Ataleta uongo wake na uzushi uzushi tu kisa wengine hatukuwa tumezaliwa sio ajabu hiyo dada kuonewa hapo mzee Said atasema ni kosa la Nyerere