DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Simon Msuva naye si anakiwasha huko! Ukitua kule hatia ya kwanza ni kunyang'anywa passport halafu msoto heavy unafuata.
 
U
Wakuu,

Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.

Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.

Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.

Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.

UVivu tu pambana huko.. huku hakuna kazi.
 
Yaani sijui huwa wanadanganywa na nini au ndio ugumu wa maisha hata nashindwa kuelewa,. Maana matukio ya watu kunyanyaswa ni mengi mnoo na tumeanza kuyaona toka zamani 2016 huko nnakuendelea lakini watu bado wanaenda,. Tena huyo kaenda 2022 si juzi tu hapo means hakuwa hata na wakumshauri jamani???,

Inatia hasira sometimes

katika kila mmoja wa hao munaosema wamenyanyaswa kuna 30 wanaofanikiwa.
 
huyu atakuwa amepeleka uswahili kwenye kazi za watu (ubishi na ujuaji) ndio wameamua kumnyoosha sasa anaanza kusumbua watu!
Hakuna cha uswahili hapo, nenda wewe basi kawaoneshe uzungu wako na ngozi yako nyeusi kama hawajakutumbukiza kwenye shimo la taka
 
Wakuu,

Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.

Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.

Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.

Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.

Mbona wanamruhusu kwenda kutembea? Halafu hiyo clip ndiyo inadhihirisha nini?
 
Yupo Iraq kweli!??
 
Iraq unaenda kumfanyia nani kazi za ndani!!? Km inashangaza hivi
 
Katika keso yoyote,lazima usikize pande zote mbili.Huko Iraq,pia wapo waarabu wakridto na pia wapo wasio na dini.Hata huyo sio muislamu,ni.jina tu,midlzmu mwanzmke hakai kichwa wazi
Hakuna mkristo mwenye roho nyeusi kama hiyo ya kufahya hivyo unyama kama huo

Na vipi wale wadada wa kazi kule Dubai nao pia mabosi zao wakristo wale? Mpaka video zinavujaga kizee kimepiga kanzu na kobazi kinafosi kula uroda.

Pili kama huyo dada ni mkristo ndiyo inahalalisha unyama huo kutendewa? Dini ya wavaa kobazi ni kitapeli na kishari shari sana
 
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Uongo mkubwa sana acheni kupotosha

Human being is a social animal in nature .
Binadamu ili aishi kwenye jamii anatakiwa afuate vile jamii inavyoishi vinginevyo hamalizi atakaa siku chache tu na kufa!

Kwahiyo kama jamii aliyopo ni ya kibaguzi na yeye lazima awe hivyo, necessity is what makes human being to socialize with others

Tabia mtu hazaliwi nayo anaipata kwenye jamii husika,

Mfano.
Ni kisa kimoja kiliwahi kurekodiwa kule india, watoto wawili waliokotwa pangoni na mwindaji mmoja.
Mmoja wa kiume mwenye miaka 3 na wa kike mwenye miaka 6

Haijulikani watoto waliwezaje kuishi mule tangu wakiwa wadogo na wazazi wao wako wapi lakini walipotolewa pangoni tu.

Walitembea na miguu minne!
Waliunguruma kama wanyama!
Walikuwa wanaogopa binadamu wenzao na kujihisi insecure na kutaka kurudi pangoni!

Baada ya siku chache tu mmoja wa kiume alikufa na wakike alijaribu kucope maisha mapya na hatimaye taratibu akazoea!

Kwahiyo moja kwa moja akaadopt tabia mpya kwa race ya jamii yake hiyo na siyo mazingira yaliyomlea pangoni!

Huwezi kutofautisha race na tabia never!
antimatter
 
Ataleta uongo wake na uzushi uzushi tu kisa wengine hatukuwa tumezaliwa sio ajabu hiyo dada kuonewa hapo mzee Said atasema ni kosa la Nyerere
Hahaha,
Nilitaka huyo mzee Mohamed Said atueleze tu ni kwanini ndugu zake katika imaaan wanapenda kufanya mambo ya ajabu sana.

Kuna wengine hapo UAE wanathubutu kujisaidia haja kubwa ndani ya midomo ya mabinti wa Kiafrika
 
Back
Top Bottom