DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ataleta uongo wake na uzushi uzushi tu kisa wengine hatukuwa tumezaliwa sio ajabu hiyo dada kuonewa hapo mzee Said atasema ni kosa la Nyerere
Hahaha,
Nilitaka huyo mzee Mohamed Said atueleze tu ni kwanini ndugu zake katika imaaan wanapenda kufanya mambo ya ajabu sana.

Kuna wengine hapo UAE wanathubutu kujisaidia haja kubwa ndani ya midomo ya mabinti wa Kiafrika
 
Hahaha,
Nilitaka huyo mzee Mohamed Said atueleze tu ni kwanini ndugu zake katika imaaan wanapenda kufanya mambo ya ajabu sana.

Kuna wengine hapo UAE wanathubutu kujisaidia haja kubwa ndani ya midomo ya mabinti wa Kiafrika
Hayo majitu ni mashenzj sana
Yametutesea sana ndugu zetu na bado yanawatesa lakini wao hawakomi wanaenda tu!

Yaani unatoka bongo kwenda huko kwa waarabu ukawe beki tatu?
 
Wakuu,

Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.

Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.

Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.

Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.

Hivi kweli unaenda kufanya kazi Iraque? Unfamiliar wewe
 
Ukiwa Kweli Na Uchungu Wa Kulia Kwa Jambo Lolote Linalokusibu Na Kukusikitisha Unapata Wapi Nguvu Ya Kujirekodi??Na %Kubwa Huwaga Jinsia Ke Wanayaweza Sana Haya Maigizo Ya Kidigitali,,,Teknolojia Ni Ya Kuwa Nayo Makini Mnoo Mengi Ni Fake.
Mwenyewe nimejiuliza hivyo hivyo, atanisamehe dada wa watu kama ni kweli. Lakini wingi wa likes kwenye post #3 inanipa mashaka sana........ni dhahiri ni harakati za waliojivisha uadui na waarabu za kuwachafua. Jamii flani inafahamila haiwapendi waarabu.......hao wataokoteza Kila kitu Ili mradi muarabu achafukee..
 
Halafu hizo kazi zinatangazwa kila ijumaa kumbe lengo ni kwenda kuwauza mabinti wa kslam huko uarabuni kama watumwa
 
Ila Tanzania ina matahira daah nimecheka sana etii 😂😂😂😂 bobiii...
mkuu,tahira huyo dada Ako aliyeenda Iraq(hatakama Iraq!!)

Na nchi hizo dadazetu hupitia mengi magumu ,hasa kupigwa mikasi na hao mnaowaita geruman Jews dog..... msaidieni dada yenu arudi ...watoto wa kinondoni nyie mmelaaniwa mnamtaftia dada yenu kazi Iraq!! au mlipigisha cocaine akajikuta Iraq ...
 
Uongo mkubwa sana acheni kupotosha

Human being is a social animal in nature .
Binadamu ili aishi kwenye jamii anatakiwa afuate vile jamii inavyoishi vinginevyo hamalizi atakaa siku chache tu na kufa!

Kwahiyo kama jamii aliyopo ni ya kibaguzi na yeye lazima awe hivyo, necessity is what makes human being to socialize with others

Tabia mtu hazaliwi nayo anaipata kwenye jamii husika,

Mfano.
Ni kisa kimoja kiliwahi kurekodiwa kule india, watoto wawili waliokotwa pangoni na mwindaji mmoja.
Mmoja wa kiume mwenye miaka 3 na wa kike mwenye miaka 6

Haijulikani watoto waliwezaje kuishi mule tangu wakiwa wadogo na wazazi wao wako wapi lakini walipotolewa pangoni tu.

Walitembea na miguu minne!
Waliunguruma kama wanyama!
Walikuwa wanaogopa binadamu wenzao na kujihisi insecure na kutaka kurudi pangoni!

Baada ya siku chache tu mmoja wa kiume alikufa na wakike alijaribu kucope maisha mapya na hatimaye taratibu akazoea!

Kwahiyo moja kwa moja akaadopt tabia mpya kwa race ya jamii yake hiyo na siyo mazingira yaliyomlea pangoni!

Huwezi kutofautisha race na tabia never!
antimatter
But penye wabaya wema nao wapo.
Na hao wa dada waliobadilisha maisha ya familia zao bongo mwaka wa kumi sasa wapo wanapiga kazi huko je hawa wameteswa na nani.
Pana mpaka waliolewa huko
 
Ila hawa watu nao jamani khaaa,. Tangu niko mdogo nasikiaga tu wakilalamika hivihivi sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao.. Kwani kazi sehemu nyingine zenye usalama hakuna ??
Ni ndugu katika Imaaan
 
Sababu hana uhusiano wowote na Waafrika. Na yeye angekuacha ufe vilevile, hell, gadaf angekuua kwa mikono yake mwenyewe personally. Narudia, wewe ni wa kukamatwa na kuhojiwa. Otherwise ni mwarabu.
All people are good and bad
 
Kila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
Wazungu

"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mchamungu zaidi kati yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari."
— Qur'an 49:13
 
Back
Top Bottom