Uongo mkubwa sana acheni kupotosha
Human being is a social animal in nature .
Binadamu ili aishi kwenye jamii anatakiwa afuate vile jamii inavyoishi vinginevyo hamalizi atakaa siku chache tu na kufa!
Kwahiyo kama jamii aliyopo ni ya kibaguzi na yeye lazima awe hivyo, necessity is what makes human being to socialize with others
Tabia mtu hazaliwi nayo anaipata kwenye jamii husika,
Mfano.
Ni kisa kimoja kiliwahi kurekodiwa kule india, watoto wawili waliokotwa pangoni na mwindaji mmoja.
Mmoja wa kiume mwenye miaka 3 na wa kike mwenye miaka 6
Haijulikani watoto waliwezaje kuishi mule tangu wakiwa wadogo na wazazi wao wako wapi lakini walipotolewa pangoni tu.
Walitembea na miguu minne!
Waliunguruma kama wanyama!
Walikuwa wanaogopa binadamu wenzao na kujihisi insecure na kutaka kurudi pangoni!
Baada ya siku chache tu mmoja wa kiume alikufa na wakike alijaribu kucope maisha mapya na hatimaye taratibu akazoea!
Kwahiyo moja kwa moja akaadopt tabia mpya kwa race ya jamii yake hiyo na siyo mazingira yaliyomlea pangoni!
Huwezi kutofautisha race na tabia never!
antimatter