Kwa hiyo mahousegirl ni kipimo cha maendeleo [emoji23]Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani akikataliwa hata na mikoa 5 na mingine akakataliwa mpinzani wake mshindi atakuwa nani?Magufuli na CCM yake wanavuna walichokipanda.
Anatokea mpuuzi mmoja wa NEC anakuambia Huyu Fala alikataliwa na wananchi ndio mshindi.
Safi kabisa wana Bukoba mmeonesha njia kwa wengine.
huko haupati house girl hata uahidi kumlipa milioni😀😀 mbona ma house girl tunaagiza geita na chato
nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko laborWahaya hawana maendeleo?
Kweli wewe punga
Siasa za bei rahisi. Wanatengeneza mazingira ya kuja kulalamika baadae kwamba huyu mbunge kaiba kura.Kafukuzwaje?
CCM Ni Kama mwanamke mchawi haitakiwi kuwa hai hata siku moja.Hii sio sawa
na hapo ni bukoba mjini, ukienda vijijini ni shida watu wamechoka ni gongo kwa kwenda mbeleMwee ila waTZ wengi ni masikini wa kutupwa, cheki hayo mazingira na Nguo walizovaa
Mkuu, hata mimi kwangu haifunguki. Huenda mdau ana tatzo kama langu.bando la kupewa noma kweli ! video umewekewa ila huna uwezo wa kufungua !
Kama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chamaWatu wa Bukoba mnachokitafuta Magufuli akifanikiwa kutoboa mtakipata, nawaapi Magufuli atawanyoosha Idd Amin Dadaa akasome
Acheni umbea, Magufuli hakutimuliwa na anapendwa mnoHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Hata kabla sijaitizama video hapo juu yu picha yake ipo edited/ Photoshop.Kama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chama
Yani unategemea kuna mtu anakubalika ma watu wote? Nitajie nani huyo?Ukiona unaowaongoza hawakutaki, unaachia hiyo nafasi unakaa pembeni ili uone nini wwanachokitaka then utagombea tena.
Uongozi siyo ajira.......kaa pembeni wapishe wengine.