Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Magufuli na CCM yake wanavuna walichokipanda.


Anatokea mpuuzi mmoja wa NEC anakuambia Huyu Fala alikataliwa na wananchi ndio mshindi.
Kwani akikataliwa hata na mikoa 5 na mingine akakataliwa mpinzani wake mshindi atakuwa nani?
 
Wahaya hawana maendeleo?
Kweli wewe punga
nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
 
Kafukuzwaje?
Siasa za bei rahisi. Wanatengeneza mazingira ya kuja kulalamika baadae kwamba huyu mbunge kaiba kura.
Hapo kaitembelea maskani moja tu na hata kama hawakukubaliana na alichowaambia akitoka hapo anakwenda kwenye maskani nyingine nyingi tu ambapo watampokea na kukubaliana na atakachowaambia.
 
Mwee ila waTZ wengi ni masikini wa kutupwa, cheki hayo mazingira na Nguo walizovaa
na hapo ni bukoba mjini, ukienda vijijini ni shida watu wamechoka ni gongo kwa kwenda mbele
 
bando la kupewa noma kweli ! video umewekewa ila huna uwezo wa kufungua !
Mkuu, hata mimi kwangu haifunguki. Huenda mdau ana tatzo kama langu.

Nadhani kuna haja ya JF kurekebisha mitambo yao. Ukitaka kuifungua inaandika "subiri kidogo" unaweza kusubiri wiki!! HAIFUNGUKI.
 
Huo ujinga wa kuzomea watu haukubaliki kwa chama chochote kama mtu haumtaki wewe ondoka kimya kimya umuache aongee na wanaompenda.
 
Ukiona unaowaongoza hawakutaki, unaachia hiyo nafasi unakaa pembeni ili uone nini wwanachokitaka then utagombea tena.

Uongozi siyo ajira.......kaa pembeni wapishe wengine.
 
Ukiona unaowaongoza hawakutaki, unaachia hiyo nafasi unakaa pembeni ili uone nini wwanachokitaka then utagombea tena.

Uongozi siyo ajira.......kaa pembeni wapishe wengine.
Yani unategemea kuna mtu anakubalika ma watu wote? Nitajie nani huyo?
 
Back
Top Bottom