Sidhani kama ulivyosema vyote vinapima maendeleo ya eneo husikanenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Aliyekwambia hapo bukoba mjini ni Nani?na hapo ni bukoba mjini, ukienda vijijini ni shida watu wamechoka ni gongo kwa kwenda mbele
Ukiongea uongo Kwa nini husizomewe.Huo ujinga wa kuzomea watu haukubaliki kwa chama chochote kama mtu haumtaki wewe ondoka kimya kimya umuache aongee na wanaompenda.
Najitahidi kufikiria unaongelea bukoba vijijin ipi iliyochoka.nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Hebu tazama bukoba vijijin Kwa juunenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Safi
Na Rweikiza alikuwa Burkina Faso😂😂kwanza hio sio ccm ya tanzania. Ni huko bukinafaso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Akishinda yule mzee anayepigaga pushup jukwaani si kutakua na visasi sana, maendeleo hayatapelekwa zile sehem ambazo walimkataa yeye na watu wake na tumeshaona references kadhaaHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Tumesema ukiwekwa gunzi kwenye tochi haitawaka, safari hii ukimchagua cdm ukiuliza maji yako wapi tunakupa ilani ya cdm tunakuuliza umeandika wapi?Sidhani kama ulivyosema vyote vinapima maendeleo ya eneo husika
Eti bodaboda [emoji23]sasa bodaboda ndo wanazuia eneo lisionekane Lina maendeleo?
Tupo bukoba vijijin.we ulishakimbilia bukoba mjini .
Bukoba mjini paache maana ule mji ulitelekezwa na CCm kisa kuna upinzani.
Turudi vijijin kama unaona kuna Maisha mabovu kama mikoa mingine
Huna akili hata kidogoKama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chama
Kumbe jamaa ni shetaniHili jina Rweikiza huwa linanikumbusha zile tuhuma za wabunge wa ccm kupewa mgao wa 10m/= kila mmoja ili kupitisha sheria tata! Alikuwa katibu wa wabunge wa ccm na alidaiwa kuratibu huo mgao. Hakuna jambo limepata kunifadhaisha kama hili; hasa pale kiti cha Spika kilipotumika kuzima hoja! Naibu Spika linamhusu hili.