Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Sidhani kama ulivyosema vyote vinapima maendeleo ya eneo husika

Eti bodaboda [emoji23]sasa bodaboda ndo wanazuia eneo lisionekane Lina maendeleo?

Tupo bukoba vijijin.we ulishakimbilia bukoba mjini .

Bukoba mjini paache maana ule mji ulitelekezwa na CCm kisa kuna upinzani.

Turudi vijijin kama unaona kuna Maisha mabovu kama mikoa mingine
 
Huo ujinga wa kuzomea watu haukubaliki kwa chama chochote kama mtu haumtaki wewe ondoka kimya kimya umuache aongee na wanaompenda.
Ukiongea uongo Kwa nini husizomewe.

Tatizo letu watz ni waoga
 
nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Najitahidi kufikiria unaongelea bukoba vijijin ipi iliyochoka.

Hebu tazama satellite images za bukoba vijijin Kwa juuView attachment 1578978View attachment 1578981View attachment 1578980View attachment 1578979View attachment 1578983View attachment 1578982View attachment 1578984View attachment 1578985
bk%20rural%208.jpg
 
Wanasema wahaya kuwa huyo ni mtoa rushwa aliyekubuhu, kanunua wajumbe kama njugu.
Nashangaa Magufuli na Bashiru wamepitisha watoa rushwa kuwa wagombea
 
nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Hebu tazama bukoba vijijin Kwa juu

Inaonekana unaongea kutoka huko tandika hujawahi fika bukoba
bk%20rural%203.jpg
tapatalk_1600550226057.jpg
bk%20rural%2017.jpg
bk%20rural%2014.jpg
265086489.jpg
bk%20rural%204.jpg
 
Bukoba fanyeni kweli, wenzenu mbeya wameshaikataa ccm kale kibibi jitu kanachogombea mjini kameshanusa harufu ya kushindwa kanauliza wapambe wake kweli nitashinda hapa mjini.

Piga chini ccm
 
Hili jina Rweikiza huwa linanikumbusha zile tuhuma za wabunge wa ccm kupewa mgao wa 10m/= kila mmoja ili kupitisha sheria tata! Alikuwa katibu wa wabunge wa ccm na alidaiwa kuratibu huo mgao. Hakuna jambo limepata kunifadhaisha kama hili; hasa pale kiti cha Spika kilipotumika kuzima hoja! Naibu Spika linamhusu hili.
 
Hii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Akishinda yule mzee anayepigaga pushup jukwaani si kutakua na visasi sana, maendeleo hayatapelekwa zile sehem ambazo walimkataa yeye na watu wake na tumeshaona references kadhaa
 
Sidhani kama ulivyosema vyote vinapima maendeleo ya eneo husika

Eti bodaboda [emoji23]sasa bodaboda ndo wanazuia eneo lisionekane Lina maendeleo?

Tupo bukoba vijijin.we ulishakimbilia bukoba mjini .

Bukoba mjini paache maana ule mji ulitelekezwa na CCm kisa kuna upinzani.

Turudi vijijin kama unaona kuna Maisha mabovu kama mikoa mingine
Tumesema ukiwekwa gunzi kwenye tochi haitawaka, safari hii ukimchagua cdm ukiuliza maji yako wapi tunakupa ilani ya cdm tunakuuliza umeandika wapi?
 
Hili jina Rweikiza huwa linanikumbusha zile tuhuma za wabunge wa ccm kupewa mgao wa 10m/= kila mmoja ili kupitisha sheria tata! Alikuwa katibu wa wabunge wa ccm na alidaiwa kuratibu huo mgao. Hakuna jambo limepata kunifadhaisha kama hili; hasa pale kiti cha Spika kilipotumika kuzima hoja! Naibu Spika linamhusu hili.
Kumbe jamaa ni shetani
 
Back
Top Bottom