Huo ujinga wa kuzomea watu haukubaliki kwa chama chochote kama mtu haumtaki wewe ondoka kimya kimya umuache aongee na wanaompenda.
Wewe huna hata ZA kukopaHuna akili hata kidogo
Wewe nae hunaga akiliKama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chama
Wewe nae hunaga akiliKama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chama
Hunaga akiliKama hawa wa Kilimanjaro - Hai, waliomkataa mwenyekiti wa chama
Mimi ninazo mkuu tena zangu mwenyewe, wewe zako za kukopa poleHunaga akili
Haya mambo yanaingia vipi huku mkuu?nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Laana ya kula pesa za wahanga wa tetemeko linaanza kuwala akina Rweikiza!Delete ccm Oct 28
Sisi wahaya huwa hatupend ujinga na kitu kizur zaid kabila letu na wachaga ndio linatoa vichwa zqid apa nch ile ni israel ya TANZANIA imejivunie na makabila mengine mnatuaibisha yaan mmeshindwa ata kuguna jamaa liko jukwaan linawatukana na nyiny mmekaa tuHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Mkuu wale si kwamba wanagombea kwa sababu wanaipenda ccm kihivyo ila wanatafuta tu ajira ili wapambane na makali ya maisha na pia ili wawe salama kwenye kufanya issue zao zingine wasisumbuliwe na TRA, uhamiaji, TCRA, polisi nk.Binadamu wa ajabu sana. Yaani eti Jiwe bado ana supporters. Kuna watu walijitokeza weeeengi kugombea kupitia chama chake. Binadamu wote tungekuwa na akili, asingepata mtu wa kumsapoti.
Afu bado CCM wanajidanganya !!Hali ni ngumu
Tumewakataaaa🤣🤣Wewe huna hata ZA kukopa
ahahaaaaTuliposhikilia hatuachii...tunapiga kwenye mshono tu...