Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Mgombea ukiwafuata watu wana haki ya kukuzomea ila wakikufuata kwenye mkutano wako ni ujinga kuzomea.
Huo ujinga wa kuzomea watu haukubaliki kwa chama chochote kama mtu haumtaki wewe ondoka kimya kimya umuache aongee na wanaompenda.
 
nenda vijijini uone walivyochoka, wanywa gongo tu, mjini bukoba ukifika hamu yote inaisha mji umejaa wabodaboda, wako hoi, nenda guest zao zote zina manailoni utafikiri uko labor
Haya mambo yanaingia vipi huku mkuu?
 
Hii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Sisi wahaya huwa hatupend ujinga na kitu kizur zaid kabila letu na wachaga ndio linatoa vichwa zqid apa nch ile ni israel ya TANZANIA imejivunie na makabila mengine mnatuaibisha yaan mmeshindwa ata kuguna jamaa liko jukwaan linawatukana na nyiny mmekaa tu
 
Binadamu wa ajabu sana. Yaani eti Jiwe bado ana supporters. Kuna watu walijitokeza weeeengi kugombea kupitia chama chake. Binadamu wote tungekuwa na akili, asingepata mtu wa kumsapoti.
Mkuu wale si kwamba wanagombea kwa sababu wanaipenda ccm kihivyo ila wanatafuta tu ajira ili wapambane na makali ya maisha na pia ili wawe salama kwenye kufanya issue zao zingine wasisumbuliwe na TRA, uhamiaji, TCRA, polisi nk.
 
[emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] mbona waituu

Wahaya nyoko, hamtaki ufwala
 
Haahahahah safi sana wananchi tuamke tuhoji tusitishwe na lami au fly-over hizo pesa ni zetu na sio za ccm kabisa
 
Back
Top Bottom