The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa kuonesha mipango yako bora ya kiuongozi katika sekta za kijamii na kiuchumi kwa watu hao unaotaka wakuchague?
This is absolutely pathetic...
Hebu mtazame huyu mama wa CCM mpya ya Magufuli 2020...