Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 878
Hahaha
Unajua maana ya neno "pisi"J.P Magufuli hana mpinzani
Mimi mrembo sana sio mpumbavu samahani kakaKama hana mpinzani kwanini hao wenzako wanagaragara?
Nakuona mwanamke mpumbavu katika ubora wako.
Wana mapepoUombaji kura wa ccm mwaka huu unaniqcha hooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sijuiUnajua maana ya neno "pisi"
Sio mapepo tu, nadhani kuna tatizo la ziada, unakuta mama mtu mzima na heshima zake amejilaza chini mbele ya wanaume na wananchi wa kila dizaini eti anaomba kura, ni maajabu sanaWana mapepo
Inahuzunisha sana lakini ndio malipo ya dhuluma walio wafanyia wana nchiSio mapepo tu, nadhani kuna tatizo la ziada, unakuta mama mtu mzima na heshima zake amejilaza chini mbele ya wanaume na wananchi wa kila dizaini eti anaomba kura, ni maajabu sana
Avitar yako tu inaonesha akili zako zko matakoniJ.P Magufuli hana mpinzani
Mimi nawaza sana hivi huyu Rais m-CCM kuliko wote jamani wana JF, akishinda safari hii ya mwisho wake, nawaza tu mtakavyo koma, watanzania yaani nawahurumia, safari hii ni kata funua balaa bin mikosi, hatumii risasi wala watekaji tena, si anajua hawaitaji tena na hatashtakiwa sasa je!
km aliwaburuza kwa style ile ya dharau wakati anajua umuhimu wenu kwenye box la kura! sasa hii ni safari ya mwisho lala salama haitaji kura zenu tena ! mwinyi, Kikwete walijibembeleza kura pale Lumumba. huyu mwenzangu na mimi bado anakejeli wapiga kura! anakamata na kuwabana wapinzani waziwazi tena kipindi hiki!
Msimpe kura ikitokea kapita huyu bwana muanze kulia mapemaa na wake zenu na kumkingia makalio mvae bukta nzito 2, ili awachape viboko panapostrahili! mkikaa vibaya viboko vita ingia machoni kwa hasira zake mtakosa kuona milele!
Jiwe anani kumbusha Indunas wapya Nyakato Secondary school -Bukoba jamani Khaa! Lawi ndege huyu jamaa sijui yuko wapi!!
Wanaojifanya kujigaragaza chini atawageuka kinyonga akasome!!! ataanza nao hao! haaminiki huyu! jiulize Lugola yuko wapi, Nape, January makamba? hawa walicheza michezo hatari kwa ajili yake akamate madaraka!!!
Bashite ana nafasi yake hapo imetulia. nilijuta sana kumpa kura yangu!
Mkuu Baba Bora iwe! na imekuwa haki ya Mungu sijawahi kumpenda huyu jamaa tangu, pamoja na mazuri yake yooote. na simpendi hasirani Mungu naomba anisamehe sana! sijui hao wengine lkn huyuuu...Hawezi KUSHINDA piga, ua na garagaza kabisa!!!!
Maandishi yako ukutani, huwezi kuyasoma na kuelewa tu???
MENE MENE TEKERI NA PEREZI..