The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Hii sio bure kuna tatizo kubwa mahaliWatu wamepigika na Marsha halafu mud anakuja kutufanyia vituko. Hata akivua nguo halafu agalegale kura zote kwa Tundu Lissu
Uchaguzi huu CCM wakipita tutajuta maana wapinzani hamtakuwa na msemaji tena, tutagezwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu. Mungu ibariki Chadema na watu wake.Watu wamepigika na Marsha halafu mud anakuja kutufanyia vituko. Hata akivua nguo halafu agalegale kura zote kwa Tundu Lissu
Kidogo Mzee wetu alie ,,ndo wanaambia vijana wajiajiri shida sana yaan.Hii sio bure kuna tatizo kubwa mahaliView attachment 1603115
Hao weupe wameshatangaziwa kuwa wakienda kumwona kwa shida yoyote atawasikiliza hata kama ni uteuzi wakuponya njaa zao nao wanajua lazima ashinde Uchaguzi ujao la sivyo akishindwa itakula kwao. Mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na hiyo zinatumika kusaidia kampeni ashinde asiende Zanzibar kuoa mke wa pili akimaliza muda wake wa Urais kama alivyowaahidi wasichana weupe wa huko ambako ni wengi kuliko Bara. Wapambe si wamshauri aende Ulaya kwenye weupe tupu akasombe tani yake lakini hawezi kwenda wala haendi huko kwa sababu anajua Kisukuma tu kama nacho anakijua. Lughà za dunia muhimu anakosa mengi ndo maana anachezewa sarakasi na wajanja kama huyo cheupe anabaki kukenua tu.Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hebu mtazame huyu
View attachment 1603100
Nyege zimempandaHivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hebu mtazame huyu
Kabisaa mkuuSio bure, ule mwenge unaokimbizwaga nchi nzima umebeba uchawi.
Nasema SIO BUREKidogo Mzee wetu alie ,,ndo wanaambia vijana wajiajiri shida sana yaan.
Kama hana mpinzani kwanini hao wenzako wanagaragara?J.P Magufuli hana mpinzani
Sio bure, ule mwenge unaokimbizwaga nchi nzima umebeba uchawi.
Kusitisha mbio za mwenge mwaka huu: Je, zindiko limekiukwa? Hili linaweza kuigharimu CCM pakubwaSio bure, ule mwenge unaokimbizwaga nchi nzima umebeba uchawi.
Uombaji kura wa ccm mwaka huu unaniqcha hooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hebu mtazame huyu