VIDEO: Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa na marehemu mumewe, Justice Rugaibula kisha kumtoa kwa nguvu pamoja na wapangaji wenye asili ya Kichina, waliokuwa wakiishi kwenye nyumba hiyo.

Taarifa za awali zinadai kuwa marehemu mumewe, alikopa fedha kutoka kwa mfanyabiashara mmoja, kiasi kinachotajwa kuwa ni shilingi milioni 150, ambapo alianza kurejesha lakini kabla hajamaliza, akafikwa na umauti.

Mvutano huo ukapelekwa mahakamani ambapo inadaiwa kuwa kabla ya muafaka kufikiwa, ndipo walipokuja kutolewa kwenye nyumba yao.

Video: Global TV
 
Endelea kufuatilia Global TV kuujua undani wa mkasa huu.
 
Kesi rahisi, Kama walifanya biashaeana mume wake bila kuwepo kwa spousal consent basi mke ana haki ya kugoma kutoka.
Inaonekana huyo jamaa anajua hilo ameamua waoneshsne ubabe, huruma lakini dah.
 
Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa na marehemu mumewe, Justice Rugaibula kisha kumtoa kwa nguvu pamoja na wapangaji wenye asili ya Kichina, waliokuwa wakiishi kwenye nyumba hiyo.

View attachment 3477846

Taarifa za awali zinadai kuwa marehemu mumewe, alikopa fedha kutoka kwa mfanyabiashara mmoja, kiasi kinachotajwa kuwa ni shilingi milioni 150, ambapo alianza kurejesha lakini kabla hajamaliza, akafikwa na umauti.

Mvutano huo ukapelekwa mahakamani ambapo inadaiwa kuwa kabla ya muafaka kufikiwa, ndipo walipokuja kutolewa kwenye nyumba yao.

Endelea kufuatilia Global TV kuujua undani wa mkasa huu.
Kwanini zisifuatwe taratibu za kisheria, gangsterism ya mchana kweupe na hakuna law enforcement kabisa. TZ is a sham.
 
Hizo kelele zote hakuna serikali za Mtaa? Viongozi? Majirani tena Mikocheni?
 
Thamani na nyumba na Kiwanja hapo Mikocheni, mbona ni mara Tano ama Sita ya hicho kiasi anachodai

Wakubaliane, mjane apewe muda zaidi aweze kutafuta hicho kiasi

Auze hiyo nyumba Kwa milioni 800 ama 950 then alipe hilo deni kisha akanunue Kiwanja Kigamboni ajenge nyumba nyingine ya milioni 400 hivi, huku kiasi kingine atumie kufanya biashara
 
Back
Top Bottom