Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Inaonekana huyo jamaa anajua hilo ameamua waoneshsne ubabe, huruma lakini dah.Kesi rahisi, Kama walifanya biashaeana mume wake bila kuwepo kwa spousal consent basi mke ana haki ya kugoma kutoka.
Kwanini zisifuatwe taratibu za kisheria, gangsterism ya mchana kweupe na hakuna law enforcement kabisa. TZ is a sham.Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa na marehemu mumewe, Justice Rugaibula kisha kumtoa kwa nguvu pamoja na wapangaji wenye asili ya Kichina, waliokuwa wakiishi kwenye nyumba hiyo.
View attachment 3477846
Taarifa za awali zinadai kuwa marehemu mumewe, alikopa fedha kutoka kwa mfanyabiashara mmoja, kiasi kinachotajwa kuwa ni shilingi milioni 150, ambapo alianza kurejesha lakini kabla hajamaliza, akafikwa na umauti.
Mvutano huo ukapelekwa mahakamani ambapo inadaiwa kuwa kabla ya muafaka kufikiwa, ndipo walipokuja kutolewa kwenye nyumba yao.
Endelea kufuatilia Global TV kuujua undani wa mkasa huu.
At the end of the day huyo mjane atashinda hiyo kesi but it's gonna cost her alot, legal battles are costly.Hao jamaa wameona nyumba ina dhamani kubwa kuliko mkopo wanaoudai wanataka kutumia dhuluma
Hii awamu matapeli na madhulumati yamefufuka, yaani mikocheni hii nyumba tena ya ghorofa moja iwe na thamani ya milioni 100 huyo mama ametapeliwa mchana kweupeWaache utani na nyumba wakachezee kitu kingine.
Na kama Mwanamke alishirikishwa na labda kutia saini?Kesi rahisi, Kama walifanya biashaeana mume wake bila kuwepo kwa spousal consent basi mke ana haki ya kugoma kutoka.