Hii michezo ipo sana, sijafatilia sana hiki kisa, ila ukiwa na familia please shirikisha watu wako either watoto, mke, ndugu au rafiki. Kuna mama mmoja alifariki ghafla alikuwa mjane mpangaji wake akaibuka akidai alimkopesha marehem 20m na riba mpaka watoto wake akili zinarudi deni lilishafika 150m na mpangaji ile nyumba aliichukua ipo Mwananyamala.