Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uwongo utawasaidia nini ndugu zangu?? Mbona kwenye clip hakuna maneno yanayomtaja Samia?
Tutajuaje chanzoWakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia kusema βSamia ni rais mzuri,β hali iliyosababisha kupokea kipigo
Hili ni tukio la kisiasa.Mbona mjomba mwenyewe upinde? Inaonekana
Halafu hii thread ilitakiwa iende jukwaa la chit chat kule huku ni kulidhalilisha jukwaa la siasa
Hizi ni shughuli za uswahilini hazihusiani na hayo masuala uliyoleta wewe
Atakuwa baba yake nwajuma ndala ndefu dogo Mjusi SharobaloWakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
Uwongo utawasaidia nini ndugu zangu?? Mbona kwenye clip hakuna maneno yanayomtaja Samia?
Mwishowe mtakosa hata nguvu za kiume kuwatosheleza wake zenu halafu mtamlaumu Samia
Watafutwe washatakiwe kwa kumdhihaki Rais. Lkn pia itakua harusi ya kikatoliki hiiWakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
Acha kabisa kabisa!Wakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
Ilitakiwa atolewe hadi figoWakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
Wamkate miguu huyoWakuu
Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
ukihoji watakwambiaVideo haionyeshi Samia anavyosifiwa, inonyesha vurugu tu
Kama kafinywa ni jambo zuri na la kuigwaWakuu