Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu.




Marikovski is seen holding the Ukrainian flag behind Timofeeva as the latter was filming a video of herself in front of the assembly’s banner, when Stavitsky snatches the flag and walks away with it.

The scuffle escalated quickly before other participants could separate the two men.

Marikovski later uploaded footage of the scuffle to his Facebook account.

Earlier on Thursday, members of the Ukrainian delegation had again unfurled their national flag next to Olga Timofeeva, deputy head of Russian delegation, to disrupt her speech during the PABSEC meeting in the building of the Turkish parliament in Ankara.

Pictures of the disturbance were posted on the Turkish parliament website besides a statement by parliament head Mustafa Sentop who said he condemned “this behaviour that disrupts the peaceful environment that Turkey is trying to establish.”

Labda nikuhoji swali dogo - hivi statement ya Uturuki kuhusu kisanga hiki kizima unakichukuliaje - maana wewe na Senselessky ni vigumu kawa tofautisha katika behaviours zenu - wote ni wasanii mahili - mani baye hajui kwamba wakorofi pale ni Waukraine hao ndio Amerika na EU zinawavimbisha kichwa sana wanafikiri wanaweza kifanya lolote bila ya kukememewa na yeyote hii ndio mentality inayotawala vichwa vyao kwa sasa, VietNam Kaskazini na Kusini walipokuwa vitani uliwahi kusikia wamepigana ngumi kwenye mkutana wenye lengo la kuwapatasisha, hata Lorea kasikazini na kusini hazikuwahi kufanya ujinga kama huo Ukraine wanacho kifanya kwenye vikao kama hivyo ni maigizo tu ya kujifanya hawawapendi Warusi kwa maelekezo ya ku-create a scene for publicity stunts tu.
No body takes them seriously any more ndio maana siku hizi kila kukicha wanajifanya eti wapo kwenye mpango kabambe wa counter offensive sojui kwenye majira gani ya mwaka wanayasema hayo wakati wakijua wazi wazi kwamba karibu viongozi wote wa kijeshi kutoka magharibi ambao walikuwa wanategemewa sana kwenye operation hiyo waliye kuwa huko Ukraine karibu wote wamekwisha tangulizwa mbele ya haki na Warusi baada ya kupewa taarifa za kiintelijensia za kuaminika kuhusu sehemu zote walipokuwa wamejichibia kufanya mpango wa plan "B" ya counter offensive baada ya operatipn ya mwanzo ku-prove kuwa abortive - yaanin Zelensky na mabeberu hawakati tamaa ug'ang'anizi wao wanataka Ukraine nzima ibaki magofu nakuwatoa vijana wa Ukraine kafara wa foreign policy za Kimerikani, hawaoni aibu ya kuwana sacrifice vijana wadogo na wazee wa Ukraine wakipigana a proxy war huko Ukraine on US behalf - Zelensky hata akili za kulitambua hilo hana kabisa.
 
Labda nikuhoji swali dogo - hivi statement ya Uturuki kuhusu kisanga hiki kizima unakichukuliaje - maana wewe na Senselessky ni vigumu kawa tofautisha katika behaviours zenu - wote ni wasanii mahili - wakorofi pale ni Waukraine Amerika na EU zinawavimbisha kichwa sana wanafikiri wanaweza kifanya lolote bila ya kukememewa na yeyote hii ndio mentality inayotawala vichwa vyao kwa sasa - kujifanya eti wapo kwenye mpango kabambe wa counter offensive wakati walijua wazi wazi kwamba karibu viongozi wote wa opetation hiyo waliye kuwa huko Ukraine karibu wote wamekwisha tangulizwa mbele ya haki na Warusi baada ya kupewa taarifa za kiintelijensia za kuaminika kuhusu sehemu zote walipokuwa wamejichibia kufanya mpango wa plan "B" ya counter offensive baada ya mwanzo ku-prove kuwa abortive - yaani jamaa hawakati tamaa wanataka Ukraine nzima iwe magofu nakuwatoa vijana wa Ukraine kafara wa foreign policy za. Kimerikani wana sacrifice vijana wadogo na wazee wa mataifa mengine kupigana a proxy war kwenye Mataifa mengine on US behalf - Zelensky hata akili za kulitambua hilo hana kabisa.

Na kwa taarifa yako nimesoma sehemu Ukraine sasa wameshiba silaha za kutosha kwenye offensive ijayo, baada ya Urusi kushindwa kuiteka Bakhmut licha ya kupoteza wanajeshi 193,000 hadi sasa.

Halafu hizi insha zako ujifunze kanuni za uandishi, hususan alama za uakifishaji, sio unajaza paragraph yote sehemu moja, binafsi sijasoma na hakuna atakayesoma hata waarabu wenzako.
 
Na kwa taarifa yako nimesoma sehemu Ukraine sasa wameshiba silaha za kutosha kwenye offensive ijayo, baada ya Urusi kushindwa kuiteka Bakhmut licha ya kupoteza wanajeshi 193,000 hadi sasa.

Halafu hizi insha zako ujifunze kanuni za uandishi, hususan alama za uakifishaji, sio unajaza paragraph yote sehemu moja, binafsi sijasoma na hakuna atakayesoma hata waarabu wenzako.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom