VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

ni makosa makubwa, imagine mumewe naye aanike upuuzi wa huyu mwanamke?
Kqbisa

Hatukatai watu wanakoseana lakini zipo taratibu za kistaarabu na heshima kuyasolve sio huu upuuzi

Sasa angalia athari zitakazowakuta wanawe kwa marafiki zao kuona mama yao anaanika madudu ya baba yao mitandaoni

Pumbavu kabisa!!
 
KATAA NDOAA... sasa mwanamke kama huyuu mdomoo mrefu hivii maneno kibao ukisema umuoee si kutaka kufa kabla ya siku zako
Hao pia wana ladha yao…

anakukomesha mchana usiku wewe ndio unakuwa home ground na yeye anakuwa away …hapa unatumia style ya kumkomesha sio kumfurahisha

aki behave kistaarabu mchana usiku wake unamfurahisha …akiwa kinyume chake usiku unamkwangua kifedhuli na kibaradhuli mpaka ajue leadership style yako ya siku husika inategemea alivyoishi nawe mchana wake
 
masuala ya ndoa si ya kuingilia na kumhukumu mmoja pasipo kumsikiliza mwingine. Ukimsikiliza mwenzake si ajabu ukakuta mlalamishi ndiye tatizo kubwa. Mwanaume hawezi akafikia kufanya hivyo pasipo sababu, hasa kutendwa.
Mkuu you are right. Kwa sisi wenye uzoefu na haya mambo huwa tunakaa kimya kwani tumeshaona mengi. Mimi kitendo cha huyu mama kurekodi na kurusha kwenye soacial media tayari kimeshaamsha red flag kwenye ubongo wangu. Kuna tatizo mahali.
 
Mkuu you are right. Kwa sisi wenye uzoefu na haya mambo huwa tunakaa kimya kwani tumeshaona mengi. Mimi kitendo cha huyu mama kurekodi na kurusha kwenye soacial media tayari kimeshaamsha red flag kwenye ubongo wangu. Kuna tatizo mahali.
Balozi alihamia kwenye nyumba ya kimada? Alipofulia akakumbuka kuuza furniture.
 
Back
Top Bottom