VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

Hatujui kama kajenga au la

kweli ni kuwa hatuna taarifa za kutosha ila suala hapa ni KE kuanika ndoa mitandaoni
Kwa sababu hatujuinwacha tuunganishe story.
1. Balozi aliacha mke wake wa Kwanza, akaja kumuoa huyu Single mother full stress,
2. Ubalozi ulipoisha, Sasa pesa imekata.
3. Balozi Hana nyumba na nguvu Hana.
 
Very good analogy
 
Kwny hii video mwanamke anasema walifunga ndoa

Na kuna picha yao ya ndoa ukutani kwahiyo sio Kimada
1. Balozi MKE wa ujanani alimpiga chini?
2. Hv Hawa wenye vyeo huwa wanakuaje?
3. Kuna Balozi pia Ni PhD holder hali yake ya kuunga wakati alishawahi kuwa mpaka Katibu MKuu (miaka mingi tu) Tena enzi za Mkwere unajichotea tu.
 
Serikalin wanapata hela za bure

1. sitting,
2. outfit,
3. relocation,
4. hardship,
5. education,
6. on-transit allowances
7. Per diems.
Ila wengi hawajengi wala kuwekeza. Zaidi ya starehe (pombe na nyap).
 
Mwanamke anaweza kupika chakula vibaya makusudi na ukimhoji anakuja juu kuwa si ni bahati mbaya umsamehe na bado akaka siku mbili akarudia tena, hapo bado uzembe kwenye usafi wa nyumba na watoto, na matumizi mabaya ya pesa za familia. Mwanaume stress zikikushika unatamani kumtandika makofi unaona hapana nisipate lawama za bure, unaamua kutafuta mwanamke mwingine maisha yaendelee. Utashangaa sasa mkeo kiburi anaanza kukujazia watu na kulalamika kuwa naonewa kijinsia na upuuzi mwingine.
Jitahidi na wewe siku moja uvae viatu vya mwanamke for the whole day, tukuone unapika chakula kizuri, unasafisha nyumba safi sana, watoto unawaosha na kuwapa chakula........ halafu uje hapa na stori yako ya kutandika mke makofi.
 
Huyu mama Mpuuzi inaonyesha Hata Huyo mumewe Alikuwa Akiendeshwa sana
kwanza Hapo Kisha Jichanganya
Anasema Mwanaume kabeba Meza Ambayo Ilikuwa yake lakini Nimali ya wote maana Walisha Oana
Kisha Anasahau Alisema Amechukua Vitu Vyake ambavyo Alimkuta navyo Yaani Nivyake havimuhusu
Kwahiyo vya mwanaume Vyawote
Vyake Ni Vyake
 
Janamke korofi hilo tusipindishe maneno
Wazee wa kataa ndoa hamna zuri mnaloliona. Akili zenu mmejaza sumu kuhusu wanawake. Hao hata hatujui why wamefikia hapo japo siafiki alichofanya huyo mwanamke lkn tayar mpo kuhukumu mwanamke moja kwa moja. Angekua ni mwanaume mwenzenu ndio karekodi mngekaa kimya sana sana mngeanza ooh mwanamke itakua kadanganywa na mchepuko wameamua kutoroka. Acha hizo bwana.
 
Huyo mwanamke ni wa ovyo hata kauli zake zinajionyesha.

La pili kwa nini apost mambo ya ndani kwenye mitandao? Huoni ni janamke lisilo na heshima kabisa Kelsea
 
Safi sana mh. Balozi...Huyu mama haina haja hata ya kujua chanzo ila kwa anavyoongea tu inaonyesha ni pasua kichwa grade 1.
 
Back
Top Bottom