Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
-
- #41
Kwny hii video mwanamke anasema walifunga ndoaBalozi alihamia kwenye nyumba ya kimada? Alipofulia akakumbuka kuuza furniture.
Kwa sababu hatujuinwacha tuunganishe story.Hatujui kama kajenga au la
kweli ni kuwa hatuna taarifa za kutosha ila suala hapa ni KE kuanika ndoa mitandaoni
Very good analogyKwa sababu hatujuinwacha tuunganishe story.
1. Balozi aliacha mke wake wa Kwanza, akaja kumuoa huyu Single mother full stress,
2. Ubalozi ulipoisha, Sasa pesa imekata.
3. Balozi Hana nyumba na nguvu Hana.
1. Balozi MKE wa ujanani alimpiga chini?Kwny hii video mwanamke anasema walifunga ndoa
Na kuna picha yao ya ndoa ukutani kwahiyo sio Kimada
Jitahidi na wewe siku moja uvae viatu vya mwanamke for the whole day, tukuone unapika chakula kizuri, unasafisha nyumba safi sana, watoto unawaosha na kuwapa chakula........ halafu uje hapa na stori yako ya kutandika mke makofi.Mwanamke anaweza kupika chakula vibaya makusudi na ukimhoji anakuja juu kuwa si ni bahati mbaya umsamehe na bado akaka siku mbili akarudia tena, hapo bado uzembe kwenye usafi wa nyumba na watoto, na matumizi mabaya ya pesa za familia. Mwanaume stress zikikushika unatamani kumtandika makofi unaona hapana nisipate lawama za bure, unaamua kutafuta mwanamke mwingine maisha yaendelee. Utashangaa sasa mkeo kiburi anaanza kukujazia watu na kulalamika kuwa naonewa kijinsia na upuuzi mwingine.
Utandawazi. Kila kitu tunataka ulimwengu ujue.Mkuu bado nashangaa. Kwa nini mambo kama haya watu wanaamua kurekodi na kuachia public?
Sawa rafiki.Hata kama
Hiyo haileti uhalali wa kuanika mambo mtandaoni hivi
Janamke korofi hilo tusipindishe manenoNadhani tusihukumu yeyote, hatujui huyo mwanamke kapitia mangapi mpaka kufikia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kataa ndoa hamna zuri mnaloliona. Akili zenu mmejaza sumu kuhusu wanawake. Hao hata hatujui why wamefikia hapo japo siafiki alichofanya huyo mwanamke lkn tayar mpo kuhukumu mwanamke moja kwa moja. Angekua ni mwanaume mwenzenu ndio karekodi mngekaa kimya sana sana mngeanza ooh mwanamke itakua kadanganywa na mchepuko wameamua kutoroka. Acha hizo bwana.Janamke korofi hilo tusipindishe maneno
Huyo mwanamke ni wa ovyo hata kauli zake zinajionyesha.Wazee wa kataa ndoa hamna zuri mnaloliona. Akili zenu mmejaza sumu kuhusu wanawake. Hao hata hatujui why wamefikia hapo japo siafiki alichofanya huyo mwanamke lkn tayar mpo kuhukumu mwanamke moja kwa moja. Angekua ni mwanaume mwenzenu ndio karekodi mngekaa kimya sana sana mngeanza ooh mwanamke itakua kadanganywa na mchepuko wameamua kutoroka. Acha hizo bwana.
Nimeitazama ndiyo. Haisemi ni balozi ganiUmetazama hiyo Video?
Wanapaswa wazilete front ground, kuliko kutupa na sisi background isiyo na info kwetuWatu wana info za background. Hii siyo acting.
Hatari sana!Unaonaje swala la kuanikq video ya namna hii?
NdiyoRafiki, kwa hiyo wewe umeuona upumbavu wa mwanamke tu ila upumbavu wa mwanaume hujauona??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa rafiki.Huyo mwanamke ni wa ovyo hata kauli zake zinajionyesha.
La pili kwa nini apost mambo ya ndani kwenye mitandao? Huoni ni janamke lisilo na heshima kabisa Kelsea