Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican.

Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister

Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini tunaona ni Fursa adhimu kuonana na miamba hiyo.

 
Nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.

Kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi


Roma Locutta causa finita.
 
Mabeyo ni legacy ya Magufuli pia
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki.

Kudhihirisha hilo ndiyo maana tuna Samia Suluhu Hassan kama Rais wetu. Kama Mabeyo angekuwa ni mfuasi wa Dikteta leo hii tungekuwa na Ndugai au Bashiru Ally kama Rais wa Tanzania
 
Back
Top Bottom