Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Hongera Jenerali Mstaafu Mabeyo, Lifestyle yako na maisha yako kiujumla ni mfano bora katika jamii, Mchango wako kwa taifa,jamii na kanisa, matoleo yako kwa Mungu wako hakika yataenziwa na kukumbukwa daima 🙏 Mungu akubariki.

mchango wake kwa Taifa ni upi?
 
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki...

sasa unamsifiaje mtu aliyekuwa CDF na kuripoti kwa shetani ambaye ndio bosi aka amiri jeshi mkuu na ndio mtoa amri kwake.

Kifupi CDF alikuwa anapokea amri kutoka kwa shetani na kuzitii.

MchaMungu CDF alikuwa akipokea amri za shetani na kuzitii.
 
Ukisoma maelezo ya watu humu yanatafsiri kabisa Tanzania ni Koloni la Vatican na mijitu hii inashabikia kabisa hili kwa kuona ni jambo jema kwao.
 
In short haya masuala yanafikirisha mnooooooo. Sana tena sanaaaa yaaaaaniiiii......ukifikiria utaona kuna vitu havipo sahii kabisa..
 
Yetu macho na masikio , maana yalinenwa mtanikumbuka daima
 
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki.

Kudhihirisha hilo ndiyo maana tuna Samia Suluhu Hassan kama Rais wetu. Kama Mabeyo angekuwa ni mfuasi wa Dikteta leo hii tungekuwa na Ndugai au Bashiru Ally kama Rais wa Tanzania
Yawezekana sana amejua makida aliyowatendea watanzania Sasa anatafuta jinsi ya kuyarekebisha.
 
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki...
Duuh haya sasa mapya ya uongo na kweli
 
nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.

kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi



Roma Locutta causa finita.
Roma has spoken, the matter is finished
 
Nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.

Kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi


Roma Locutta causa finita.
Uko radhi tuwe koloni la Vatican au unataka Taifa huru la Tanzania?
 
Uko radhi tuwe koloni la Vatican au unataka Taifa huru la Tanzania?
Huru la tanzania. Uhuru huo utapatikana tu akili zitakapotukia na kuacha kuwakabidhi mali zetu wakoloni kwa mgongo wa wawekezaji wa nje + madeni yanayozidi kuifumga nchi.
 
Back
Top Bottom