Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Lazima upelekwe Lutindi haraka iwezekanavyo. Hata kwa kufungwa kamba utaenda tu. Mama yangu hawezi kulibeba litoto pooza kama wewe.
Kipenzi cha Mama yako ni Baba yako hivyo kuwa makini kwani huenda ukawa Unapambana na Baba yako wa Nje Kipenzi cha Mama yako Mzazi.
 
Kwa hiyo ni kanisa Catholic la Tanzania pekee ndiyo lina hiyo nguvu ya kuamua nani awe Rais wa nchi?

Uchaguzi Mkuu wa DRC 2018 kanisa Catholic lilikuwa upande wa Martin Fayulu toka mwanzo ila mshindi akawa Tshisekedi,likaupinga ushindi wake lakini hola.

NB: DR Congo inaweza kuwa nchi yenye wakatoliki wengi zaidi kwa Africa wakitajwa kufikia 55M.
 
Kipenzi cha Mama yako ni Baba yako hivyo kuwa makini kwani huenda ukawa Unapambana na Baba yako wa Nje Kipenzi cha Mama yako Mzazi.
Hukustahili kabisa kuwepo hapa duniani! Hivyo nichukue nafasi hii kuwasikitikia wazazi waliolileta toto pooza kama wewe.
 
Nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.

Kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi

Roma Locutta causa finita.
Mbona ipo wazi , Kwanza anahojiwa Kwa nn aliruhusu ule ujinga wa 17 March , Katoliki ndo chief executive wa dunia hii hutaki unaning'inizwa
 
Wakatoliki ni kunguni tu kama kunguni wengine walivyo mtawapangia cha kufanya mazezeta wenzenu ila siyo kwa nchi zinazojitambua
 
Mbona ipo wazi , Kwanza anahojiwa Kwa nn aliruhusu ule ujinga wa 17 March , Katoliki ndo chief executive wa dunia hii hutaki unaning'inizwa
Angefanyaje kuzuia?
 
Nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.

Kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi

Roma Locutta causa finita.
Tunakusamehe kwa vile hujui kabisa ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom