Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kumbe?Mabeyo ni legacy ya Magufuli pia
AmeeniHongera Jenerali Mstaafu Mabeyo, Lifestyle yako na maisha yako kiujumla ni mfano bora katika jamii, Mchango wako kwa taifa,jamii na kanisa, matoleo yako kwa Mungu wako hakika yataenziwa na kukumbukwa daima 🙏 Mungu akubariki.
EehKutoa shukrani muhimu
Kanisa limepunguza homa ya uchaguzi 2025
Kobe/njiwa a/lilipeleka barua Kwa marehemu mpya
nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.
kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi
Hata mimi sielewi nilicho andika!!!Unamaanisha nini kanisa linapangaje raisi
Kama nakuelewa kwa mbaalinina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.
kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi
SpeculationsRais wa JMT baadae [emoji41][emoji41]
Unamaanisha nini kanisa linapangaje raisi
Zipi?Acheni nadharia
Za uraisZipi?
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki.Mabeyo ni legacy ya Magufuli pia