johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kanisa Moja Takatifu La MitumeCDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican...
Mkuu papa si mwanadamu kama mm na wewe??Hongera zake. Siyo kila binadam hapa duniani anapata nafasi ya kukutana uso kwa uso na Papa!
OoohKanisa Moja Takatifu La Mitume
Hongera Jenerali Mstaafu Mabeyo, Lifestyle yako na maisha yako kiujumla ni mfano bora katika jamii, Mchango wako kwa taifa,jamii na kanisa, matoleo yako kwa Mungu wako hakika yataenziwa na kukumbukwa daima 🙏 Mungu akubariki.
Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki...
papa gani mkuuHongera zake. Siyo kila binadam hapa duniani anapata nafasi ya kukutana uso kwa uso na Papa!
Baba Mtakatifu.papa gani mkuu
Ni kweli. Ila siyo kila mtu duniani anaweza kupata nafasi kuonana na Kiongozi wa taasisi kubwa kabisa duniani, kama ya Roman Catholic Church.Mkuu papa si mwanadamu kama mm na wewe??
Yawezekana sana amejua makida aliyowatendea watanzania Sasa anatafuta jinsi ya kuyarekebisha.Lakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki.
Kudhihirisha hilo ndiyo maana tuna Samia Suluhu Hassan kama Rais wetu. Kama Mabeyo angekuwa ni mfuasi wa Dikteta leo hii tungekuwa na Ndugai au Bashiru Ally kama Rais wa Tanzania
Duuh haya sasa mapya ya uongo na kweliLakini walikuwa ni watu wawili tofauti sana. Wakati Magufuli akiwa ni mtoto wa shetani kwa vitendo vyake vya kuua na kuiba, Mabeyo alikuwa ni mcha Mungu na mpenda haki...
Roma has spoken, the matter is finishednina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.
kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi
Roma Locutta causa finita.
Uko radhi tuwe koloni la Vatican au unataka Taifa huru la Tanzania?Nina mashaka. Hao walioko huko huwenda wakaja na maazimio mazito na ya siri kuhusu nani akalie kiti baada ya huyu aliyepo.
Kanisa likibariki mipango hiyo kuipinga itakuwa ngumu sana. Tujipe muda kila kitu kitajiweka wazi
Roma Locutta causa finita.
Huru la tanzania. Uhuru huo utapatikana tu akili zitakapotukia na kuacha kuwakabidhi mali zetu wakoloni kwa mgongo wa wawekezaji wa nje + madeni yanayozidi kuifumga nchi.Uko radhi tuwe koloni la Vatican au unataka Taifa huru la Tanzania?