Video moya ya Rich Mavoko na Tshirt ya 'kauka nikuvae'

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Hii ni video ya Rich Mavoko mpya ya wimbo Pacha wangu. Ni video nzuri sana imefanywa na Adam Juma nimeipenda quality yake na chui aliyetumika umo.

Kilichonishangaza ni Mavoko kuvaa Tshet moja ya kijivu karibu video yote, sijaelewa tatizo ni nini aliiaminia sana iyo tisheti au ndio ilimpendeza sna au AJ alijisahau?

Icheki hapa

 
Last edited by a moderator:

Kuna video watu hawavai nguo kabisa na mnaziangalia mara mbilimbili!..yeye kavaa tshirt mnatanua midomo..mna matatizo gani nyinyi? Kama vp si mwende kwenye maonyesho ya mavazi muone watu wanavyobadili badili nguo?
 
So sad kua tunafanya analysis ya video kwa vitu vyepesi kama t-shirt ila kwa kua ni Richard sio mbaya maana akina lil wayne na CB wakifanya kwetu poa tu.
 
Video kali.
Swala la dresscode nalo poa tu..we unataka abadilishe nguo kama yupo kwa fashion show? ..safi mavoko.
 

swaga tu hizo may b fashion umeikutia ukubwani
 
Suala la kubadili nguo co hoja ya kufanya video nzuri kinachotakiwa ni kufanya video nzuri na yenye ubunifu unaovutia...mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni...acheni roho mbaya zisizo na msingi ndo maana hatuendelei kwa sababu ya fitina zetu zisizo na msingi wa kujenga kiukweli rich mavoko ni msanii mkali wa kutunga na kuimba pia anastaili pongezi kwa kila anachofanya hasa hii video ni kali balaa kupita.maelezo...big up mavoko...mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe....
 
kwa waliotazama kipindi cha planet bongo kijana kaeleza kila kitu, ni kama 24 vile
 
nnayo kwenye smartphone yangu, napenda angalia mara zote nimependa zile shot za kwenye miguu..... kazi nzuri!!!!
 
Umepanic, mbona video ya Bruno mars-lazy kafanya na sokwe-cartoon mwnzo-mwisho hajabadili pamba bt stl imekick?
 
Kuna video watu hawavai nguo kabisa na mnaziangalia mara mbilimbili!..yeye kavaa tshirt mnatanua midomo..mna matatizo gani nyinyi? Kama vp si mwende kwenye maonyesho ya mavazi muone watu wanavyobadili badili nguo?
hahahahaaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…