Video moya ya Rich Mavoko na Tshirt ya 'kauka nikuvae'

Video moya ya Rich Mavoko na Tshirt ya 'kauka nikuvae'

Nadhani alikuwa anajipanga upya kushindana na soko la kimataifa.

Ni kweli maana waandaaji wa video wapo wengi sanaa so yeye now ametoka kivyake maana ameenda nje ya nchi kwa kutoa video kali zaidi
 
Jamani kwani hiyo ni video ya nyimbo au mavazi.. Mbona wenzetu video mtu anapigialia hata nguo moja mwanzo mwisho!! Cheki kwa mfano Eminem or Lil Wayne, pia nguo kabadili mbona na video iko bomba sana!! Appreciations!!
 
Hii ni video ya Rich Mavoko mpya ya wimbo Pacha wangu. Ni video nzuri sana imefanywa na Adam Juma nimeipenda quality yake na chui aliyetumika umo.

Kilichonishangaza ni Mavoko kuvaa Tshet moja ya kijivu karibu video yote, sijaelewa tatizo ni nini aliiaminia sana iyo tisheti au ndio ilimpendeza sna au AJ alijisahau?

Icheki hapa

Masharti ya mganga hayoo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwani hiyo ni video ya nyimbo au mavazi.. Mbona wenzetu video mtu anapigialia hata nguo moja mwanzo mwisho!! Cheki kwa mfano Eminem or Lil Wayne, pia nguo kabadili mbona na video iko bomba sana!! Appreciations!!

kubadili nguo kunatokana na dhima ya wimbo , sio kwa vile jay z kavaa nguo moja na wewe uvae tuu
 
Rich mavoko ni the future best artist in tanzania baada ya diamond kwende na maji...sema kinachomuungusha ni management yake haiko vizuri....but kwa nyimbo na sauti ya huyu mchizi iko gado....
 
kubadili nguo kunatokana na dhima ya wimbo , sio kwa vile jay z kavaa nguo moja na wewe uvae tuu

So dhima ya wimbo huo hapo ni "uana mitindo" au? Take it simple bwana kama nguo kabadilisha, msilazimishe abadili hadi pair 10..
 
Itafika mahali tutahoji hivi na boxer alibadili??? kwenye pongezi toeni pongezi sio kutafuta makosa tuuu.Video kali kwa maelezo zaidi juu ya nguo tafuta clip ya planet bongo ya tar 1/10/2014 eatv
 
quality nzuri ila wamechemka kutokuweka dancer maana wimbo ni wa kuchezeka hilo tu ndomaana Nasseeb anawashinda wengi
 
Rich mavoko ni the future best artist in tanzania baada ya diamond kwende na maji...sema kinachomuungusha ni management yake haiko vizuri....but kwa nyimbo na sauti ya huyu mchizi iko gado....

Hapo ndio mnapokosea Ali K tumempoteza kwa ajili ya kutumia jina la Diamond kufanya mambo yake.
 
Itafika mahali tutahoji hivi na boxer alibadili??? kwenye pongezi toeni pongezi sio kutafuta makosa tuuu.Video kali kwa maelezo zaidi juu ya nguo tafuta clip ya planet bongo ya tar 1/10/2014 eatv

Kwa hiyo chochote kitachosemwa uko wewe unakichukulia kama sheria?? Kung'ang'ana na Tshet moja kachemka. period
 
Back
Top Bottom