el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
hujanielewa dhima ya wimbo hutokana na kile alichokilenga au kinachotakiwa kulengwa kwa mfano Nyimbo ya thriller michael jackson amevaa nguo moja tu hilo ni sawa kutokana na nyimbo yenyewe , pia nyimbo kibao za usher unaona anapiga nguo moja na yenyewe ni kutokana na nyimbo. kama nguo moja ya mavoko inaendana na nyimbo hilo halina shidaSo dhima ya wimbo huo hapo ni "uana mitindo" au? Take it simple bwana kama nguo kabadilisha, msilazimishe abadili hadi pair 10..