Nadhani alikuwa anajipanga upya kushindana na soko la kimataifa.
Video kali.
Swala la dresscode nalo poa tu..we unataka abadilishe nguo kama yupo kwa fashion show? ..safi mavoko.
Ana hasira kwelikweli,am his fan tho....
ubaya wa huyu jamaa next videoitakua kituko
Hii ni video ya Rich Mavoko mpya ya wimbo Pacha wangu. Ni video nzuri sana imefanywa na Adam Juma nimeipenda quality yake na chui aliyetumika umo.
Kilichonishangaza ni Mavoko kuvaa Tshet moja ya kijivu karibu video yote, sijaelewa tatizo ni nini aliiaminia sana iyo tisheti au ndio ilimpendeza sna au AJ alijisahau?
Icheki hapa
Jamani kwani hiyo ni video ya nyimbo au mavazi.. Mbona wenzetu video mtu anapigialia hata nguo moja mwanzo mwisho!! Cheki kwa mfano Eminem or Lil Wayne, pia nguo kabadili mbona na video iko bomba sana!! Appreciations!!
kubadili nguo kunatokana na dhima ya wimbo , sio kwa vile jay z kavaa nguo moja na wewe uvae tuu
hii video imefanyikia nchi gani ?
Rich mavoko ni the future best artist in tanzania baada ya diamond kwende na maji...sema kinachomuungusha ni management yake haiko vizuri....but kwa nyimbo na sauti ya huyu mchizi iko gado....
Itafika mahali tutahoji hivi na boxer alibadili??? kwenye pongezi toeni pongezi sio kutafuta makosa tuuu.Video kali kwa maelezo zaidi juu ya nguo tafuta clip ya planet bongo ya tar 1/10/2014 eatv
Kwa hiyo chochote kitachosemwa uko wewe unakichukulia kama sheria?? Kung'ang'ana na Tshet moja kachemka. period