hujanielewa dhima ya wimbo hutokana na kile alichokilenga au kinachotakiwa kulengwa kwa mfano Nyimbo ya thriller michael jackson amevaa nguo moja tu hilo ni sawa kutokana na nyimbo yenyewe , pia nyimbo kibao za usher unaona anapiga nguo moja na yenyewe ni kutokana na nyimbo. kama nguo moja ya mavoko inaendana na nyimbo hilo halina shida
Huyo ni chitah, hawa ni rahisi sana kuishi na binadamu kuliko wale chui wengine. Wakichuliwa tangu wadogo na kuwekwa nyumbini wanakuwa sawa na mbwa tu.
Huyo ni chitah, hawa ni rahisi sana kuishi na binadamu kuliko wale chui wengine. Wakichuliwa tangu wadogo na kuwekwa nyumbini wanakuwa sawa na mbwa tu.