Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

Tumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikani kama hapo alipo ni mzima au lah!
Kwani hiyo Kampuni hapo wanasema alikuwa anaelekea Tunduma Zambia
 
Hivi wale dada utamu wa Chalinze, Mdaula, Morogoro, Mikumi, Mafinga, Dodoma, Itigi, Singida, Nzega, Kakongwa
na makao makuu ya umalaya RUNZEWE bado wanatoa uroda kwa madereva? Maana kupumuliana imo sana
 
Mbona watu wanampambania na hawana shamra shamra yoyote.
We jamaa mbona kama una ka ujinga flani hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Atmosphere nzima inayoonekana ni ya kushadadia Tanzia au ugonjwa hasa unapohusha upumuaji, inaweza isiwe dhahiri, lakini ukifuatiliankuanzia commentary na comments ni shamra shamra na vifijo fijo, mnamatatizo gani? Mfano mzuri ni huyo anaechukua video kwa mbali na hata kumsogelea kashindwa ila tayari kashampima na kujua ni tatizo la upumuaji, kwa umbali ule unaweza ukajua tatizo kama ni kupumua na ukizingatia kasema hawajamsogelea, sasa wamejuaje ni upumuaji? Huku ni kushadadia tunakokuzungumzia, nini hiki lakini?!!!
 
HAUKO MBALI NA UKWELI!

HUU UGONJWA KUNA WATU WAMEUFANYA MTAJI!
 
Atmosphere nzima inayoonekana ni ya kushadadia Tanzia au ugonjwa hasa unapohusha upumuaji, inaweza isiwe dhahiri, lakini ukifuatiliankuanzia commentary na comments ni shamra shamra na vifijo fijo, mnamatatizo gani? Mfano mzuri ni huyo anaechukua video kwa mbali na hata kumsogelea kashindwa ila tayari kashampima na kujua ni tatizo la upumuaji, kwa umbali ule unaweza ukajua tatizo kama ni kupumua na ukizingatia kasema hawajamsogelea, sasa wamejuaje ni upumuaji? Huku ni kushadadia tunakokuzungumzia, nini hiki lakini?!!!
Kwahiyo ukimkuta mtu ameanguka usilete taarifa zake? Au ukimkuta mtu ameanguka abebwe na apelekwe hospitali bila kuwa na vifaa vya kujilinda? Acha mawazo mgando

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi shamra shamra na bashasha mnazozionyesha juu ya matatizo ya binadamu mwenzenu, chanzo chake ni nini hasa?
Hio post yangu ina shamra shamra gani? MATAGA umepagawa nini?
Watu wanajaribu kusaidiana mataga mnasema tunasherehekea?

Covid i apiga kote kote.
Mkuu wa usalama ndugu yake kafa.
Nasikia simbachewene kapoteza ndugu karibia wanne.
Sasa hapo kuna mtu atashangilia?

This thing is real fella
Stop nonsense
 
Back
Top Bottom