Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

.
FB_IMG_15890502447690498.jpg
 
Nje ya mada mkuu. Hivi kupigwa pini na mtusi inawezatudhuru kiasi gani hapa kwetu? Naje akipitishia mombasa huko hatochangamana na wenyeji wa huko. Je kila nchi ikifunga mipaka kama yeye je mizigo atapitishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila nchi haiwezi kufunga mipaka kama yeye.

Birds with the same feathers flock together.

"Nimeongea na marais Kagame, Magufuli na Kenyatta kuhusiana na suala la madereva wa malori na Corona. Sote tumekubaliana Ila Dr. Magufuli". Mwisho wa kumnukuu.

Wajinga ndiyo waliwao. Kwenye hili subiri uone nani watapigwa munda!
 
Nje ya mada mkuu. Hivi kupigwa pini na mtusi inawezatudhuru kiasi gani hapa kwetu? Naje akipitishia mombasa huko hatochangamana na wenyeji wa huko. Je kila nchi ikifunga mipaka kama yeye je mizigo atapitishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya madereva hupimwa kwanza kabla ya kupakia mzigo,na wakati wa kurudi,,Kuna dreva mmoja kwenye tv alilalamika Hadi shingo linauma kwa kuingiziwa kijiti Kila Mara.
Lakini ndo hivyo wako strict mno,
 
Hio post yangu ina shamra shamra gani? MATAGA umepagawa nini?
Watu wanajaribu kusaidiana mataga mnasema tunasherehekea?

Covid i apiga kote kote.
Mkuu wa usalama ndugu yake kafa.
Nasikia simbachewene kapoteza ndugu karibia wanne.
Sasa hapo kuna mtu atashangilia?

This thing is real fella
Stop nonsense
Ona jinsi ulivyo na bashasha na vifijo fijo, aisee
 
Tumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikani kama hapo alipo ni mzima au lah!

How fast!!! Within 7 mins! Congrats mkuu.
 
Kuna mwingine alianguka mataa ya biafra hapo Kinondoni. Amelala hapo masaa zaidi ya manne ndio polisi wamejitokeza kumchukua!
Usiombe kubanwa ghafla kifua na mbavu.
Binafsi nilipitia hii hali so am talking from experience.
Hali ni mbaya. Chukua tahadhari. Corona ipo
 
Hivi wale dada utamu wa Chalinze, Mdaula, Morogoro, Mikumi, Mafinga, Dodoma, Itigi, Singida, Nzega, Kakongwa
na makao makuu ya umalaya RUNZEWE bado wanatoa uroda kwa madereva? Maana kupumuliana imo sana
Kiongozi.

Nakuogopa
 
Back
Top Bottom