nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #21
Roma: "nasikia mzee poyu zeka mbochi"(Nasikia mzee yupo zake chimbo)sasa umejuaje kama anatatizo la kupumua wakati hata kumsogelea mmeogopa?
hata picha tu umemchukua mgongoni kwa mbaali mtu kalala mbele ya roli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ni mbaya mkuuMungu ampe ahueni na kumponya.
Hizi shamra shamra na bashasha mnazozionyesha juu ya matatizo ya binadamu mwenzenu, chanzo chake ni nini hasa?Ni mzima bado sema anapumua kwa shida. Jamaa wameshafika hapo mafinga
Kwani hiyo Kampuni hapo wanasema alikuwa anaelekea Tunduma ZambiaTumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikani kama hapo alipo ni mzima au lah!
Huu uongo wa Chadema
Mbona watu wanampambania na hawana shamra shamra yoyote.Hizi shamra shamra na bashasha mnazozionyesha juu ya matatizo ya binadamu mwenzenu, chanzo chake ni nini hasa?
Atmosphere nzima inayoonekana ni ya kushadadia Tanzia au ugonjwa hasa unapohusha upumuaji, inaweza isiwe dhahiri, lakini ukifuatiliankuanzia commentary na comments ni shamra shamra na vifijo fijo, mnamatatizo gani? Mfano mzuri ni huyo anaechukua video kwa mbali na hata kumsogelea kashindwa ila tayari kashampima na kujua ni tatizo la upumuaji, kwa umbali ule unaweza ukajua tatizo kama ni kupumua na ukizingatia kasema hawajamsogelea, sasa wamejuaje ni upumuaji? Huku ni kushadadia tunakokuzungumzia, nini hiki lakini?!!!Mbona watu wanampambania na hawana shamra shamra yoyote.
We jamaa mbona kama una ka ujinga flani hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
HAUKO MBALI NA UKWELI!Atmosphere nzima inayoonekana ni ya kushadadia Tanzia au ugonjwa hasa unapohusha upumuaji, inaweza isiwe dhahiri, lakini ukifuatiliankuanzia commentary na comments ni shamra shamra na vifijo fijo, mnamatatizo gani? Mfano mzuri ni huyo anaechukua video kwa mbali na hata kumsogelea kashindwa ila tayari kashampima na kujua ni tatizo la upumuaji, kwa umbali ule unaweza ukajua tatizo kama ni kupumua na ukizingatia kasema hawajamsogelea, sasa wamejuaje ni upumuaji? Huku ni kushadadia tunakokuzungumzia, nini hiki lakini?!!!
Mtu kaleta taarifa ..atapa msaada inaweza kuwa hata ndugu yake yumo humu.Huyo hormones zitakuwa zimempanda tu...mhemko??Mbona watu wanampambania na hawana shamra shamra yoyote.
We jamaa mbona kama una ka ujinga flani hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukimkuta mtu ameanguka usilete taarifa zake? Au ukimkuta mtu ameanguka abebwe na apelekwe hospitali bila kuwa na vifaa vya kujilinda? Acha mawazo mgandoAtmosphere nzima inayoonekana ni ya kushadadia Tanzia au ugonjwa hasa unapohusha upumuaji, inaweza isiwe dhahiri, lakini ukifuatiliankuanzia commentary na comments ni shamra shamra na vifijo fijo, mnamatatizo gani? Mfano mzuri ni huyo anaechukua video kwa mbali na hata kumsogelea kashindwa ila tayari kashampima na kujua ni tatizo la upumuaji, kwa umbali ule unaweza ukajua tatizo kama ni kupumua na ukizingatia kasema hawajamsogelea, sasa wamejuaje ni upumuaji? Huku ni kushadadia tunakokuzungumzia, nini hiki lakini?!!!
Huu uongo wa Chadema
Najua umeshanielewaKwahiyo ukimkuta mtu ameanguka usilete taarifa zake? Au ukimkuta mtu ameanguka abebwe na apelekwe hospitali bila kuwa na vifaa vya kujilinda? Acha mawazo mgando
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio post yangu ina shamra shamra gani? MATAGA umepagawa nini?Hizi shamra shamra na bashasha mnazozionyesha juu ya matatizo ya binadamu mwenzenu, chanzo chake ni nini hasa?