Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

Asante sana JPM kwa kutujengea barabara nzuri sasa hata chadema waliokuwa wanapinga kila kitu wanapiga masafa marefu kwa muda mfupi na bila uharibifu kwa magari yao. Kwa nje wanakudiss lakini myoyoni wanashukuru barabara ni mikeka ya kukata na mundu!
 
Hadi kufika mwaka 2020 tahakikisha upinzani umekufa kabisa,nasema uongo ndugu zangu!
 
Mleta maada umeona msafara ni fahari zaidi kuliko kinachokwenda kuongelewa huko
 
Afadhali sana. Sasa mtakuwa hammlalamikii misafara mirefu ya CCM na Serikali. Mmekuwa ngoma droo!!!
 
Tume huru ni Kwa aliyeshinda, zaidi ya hapo ni kinyume chake

Ni nini maana ya tume huru??

Kwa Trampoo ndiko makao makuu ya tume huru kidunia, Ila aliposhindwa, hakuitambua tume huru
Tume huru ni fairness hta kma ukishindwa..... Trump alicholilia ni zile kura za Mail Votes zaidi ya hapo alipewa fursa ya kupeleka ushahidi wa wizi but hakuwa na evidence za kutosha. Btw walikubali kura zihesabiwe upya n.k so at least hta kama hakukiri but aliridhika.

Sasa Tanzania hapa hiyo fursa ya kureview matokeo haipo..... Mtu anatangazwa haraka haraka alafu wanakwambia kimbilia mahakamani. Mbaya zaidi Kura za Urais hazihojiwi kokote hta kma kuna faulo.

So usilinganishe scenario mbili tofauti
 
Si mlisema imeshekufa tulieni?
Kwani Chadema kama chama kipo kweli? Labda kama Saccos ni sawa kabisa. Umesikia Mwenyekiti wenu wa maisha amesema wana muda wa miezi sita hawajawalipa makamanda wao unategemea kuna chama hapo au?
 
Kwani Chadema kama chama kipo kweli? Labda kama Saccos ni sawa kabisa. Umesikia Mwenyekiti wenu wa maisha amesema wana muda wa miezi sita hawajawalipa makamanda wao unategemea kuna chama hapo au?
ANC wakati wa Harakati ilikuwa inalipwa na nani
Tunaoiunga Chadema mkono tunatoa Fedha kwa Moyo mmoja kwani ndio Chama pekee chenye uwezo wa kuitosa CCM madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…