Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na Chadema kama ada , hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki , ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021 .

Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko , jionee mwenyewe .

View attachment 1800682

Nyingine hii hapa

View attachment 1800687
Asante sana JPM kwa kutujengea barabara nzuri sasa hata chadema waliokuwa wanapinga kila kitu wanapiga masafa marefu kwa muda mfupi na bila uharibifu kwa magari yao. Kwa nje wanakudiss lakini myoyoni wanashukuru barabara ni mikeka ya kukata na mundu!
 
Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na Chadema kama ada , hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki , ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021 .

Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko , jionee mwenyewe .

View attachment 1800682

Nyingine hii hapa

View attachment 1800687
Mleta maada umeona msafara ni fahari zaidi kuliko kinachokwenda kuongelewa huko
 
Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na Chadema kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021.

Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe.

View attachment 1800682

Nyingine hii hapa

View attachment 1800687
Afadhali sana. Sasa mtakuwa hammlalamikii misafara mirefu ya CCM na Serikali. Mmekuwa ngoma droo!!!
 
Tume huru ni Kwa aliyeshinda, zaidi ya hapo ni kinyume chake

Ni nini maana ya tume huru??

Kwa Trampoo ndiko makao makuu ya tume huru kidunia, Ila aliposhindwa, hakuitambua tume huru
Tume huru ni fairness hta kma ukishindwa..... Trump alicholilia ni zile kura za Mail Votes zaidi ya hapo alipewa fursa ya kupeleka ushahidi wa wizi but hakuwa na evidence za kutosha. Btw walikubali kura zihesabiwe upya n.k so at least hta kama hakukiri but aliridhika.

Sasa Tanzania hapa hiyo fursa ya kureview matokeo haipo..... Mtu anatangazwa haraka haraka alafu wanakwambia kimbilia mahakamani. Mbaya zaidi Kura za Urais hazihojiwi kokote hta kma kuna faulo.

So usilinganishe scenario mbili tofauti
 
Si mlisema imeshekufa tulieni?
Kwani Chadema kama chama kipo kweli? Labda kama Saccos ni sawa kabisa. Umesikia Mwenyekiti wenu wa maisha amesema wana muda wa miezi sita hawajawalipa makamanda wao unategemea kuna chama hapo au?
 
Kwani Chadema kama chama kipo kweli? Labda kama Saccos ni sawa kabisa. Umesikia Mwenyekiti wenu wa maisha amesema wana muda wa miezi sita hawajawalipa makamanda wao unategemea kuna chama hapo au?
ANC wakati wa Harakati ilikuwa inalipwa na nani
Tunaoiunga Chadema mkono tunatoa Fedha kwa Moyo mmoja kwani ndio Chama pekee chenye uwezo wa kuitosa CCM madarakani
 
Back
Top Bottom