Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

ANC wakati wa Harakati ilikuwa inalipwa na nani
Tunaoiunga Chadema mkono tunatoa Fedha kwa Moyo mmoja kwani ndio Chama pekee chenye uwezo wa kuitosa CCM madarakani
yaani kikundi cha matapeli matupu nyeti zao zote ziko nje kama za mbuzi ngoja wasukumize tu
 
ANC wakati wa Harakati ilikuwa inalipwa na nani
Tunaoiunga Chadema mkono tunatoa Fedha kwa Moyo mmoja kwani ndio Chama pekee chenye uwezo wa kuitosa CCM madarakani
nyie majizi na matapeli tu hamna nafasi kabisa ssaaa hz mna mbunge mmoja tu next time hata wa kufukuzia hampati
 
Na jirani yangu Ni mwanachadema kaona izo video nashanga anarukaruka Kama tumbili.
Mnemcheki weeh
Uzuri nafahamu ufipa ni amnazo
 
Tumesikia mara ngapi akili kama hizi lakini Chadema ipo palepale
iko wapi Chadema nionyeshe ilipo bungeni haipo, ofis hamna iko wapi maana hata TADEA IPOO hata CUF ipoo hata CHAUMA ipo kwa maana ya majina
 
Ndugu kwanini msijipime kama mnakubalika kwa kuliko kujisimika wakati wananchi wameshawachoka
Chadema muliaminika sana mmenikera sana kwa kuanza kupingana na sera za dhati za kumkomboa mtanzania mmepandikiza masaliti ya nchi non sense kabisa
 
iko wapi Chadema nionyeshe ilipo bungeni haipo, ofis hamna iko wapi maana hata TADEA IPOO hata CUF ipoo hata CHAUMA ipo kwa maana ya majina
Acha kujirusha ufahamu,Leo hii tukipata Tume Huru na ukaitishwa Uchaguzi Chadema tutazoa asilimia 68% ya Wabunge haswa Bara
 
Back
Top Bottom