Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

Picha kubwa na picha ndogo....

Hiko kilimo nimekisikia toka uhuru hadi wakati wa nguvu kazi hadi sasa hakijawahi kumkomboa mtz...

Natamani kusikia uwekezaji kwenye kilimo uweje kwakuwa kugawa pembejeo ni ujamaa na ujinga unaomfanya mkulima ahamini kilimo ni jukumu la serikali.... (i might be wrong thou)

Magu kaamua kupiga pasi ndefu...

Maendeleo mtakutanayo mbele nchi inavyofunguka na kupitika..
Eti Rais mzima kabisa wa nchi nzima yenye idadi ya watu takribani milioni 50 anataka tumshangilie kwa kujenga daraja la kuvuka makutano la mita 500 tu?? Tena Ubungo na Tazara ambalo hata mwanachi wa Gongolamboto halimsaidii kitu chochote.
 
Shule Gani Hiyo, Walimu Wamewaacha Wanafunzi Hovyo
Mkuu Wa Shule Jiandae, Haiwezekani Muda Wa Masomo

Chama Dola!!!!!
Ni Shida Kila Siku,
 
Kila mtu anajua CCM Mpya imetelekeza kilimo, inachokazania ni sera ya Maendeleo ya Vitu na siyo Maendeleo ya Watu mfano kilimo kinachogusa maendeleo ya watanzania wengi zaidi ambao ni watu waishio vijijini na ktk miji midogo.
Hakuna mpango mzuri wa kuendeleza kilimo hivyo kimebaki kama shughuli ya wananchi year after year ikitegemea ruzuku ya serikali... too much ujamaa...
 
Utawasikia ooh chadema iko mjini tu. Cheki hapo ni porini kabisa hata mtoto wa miaka 15 anaijua chadema anajua Mkombozi ni Chadema.

Halafu mbona sionagi wabunge wa ccm walitembelea majimbo yao wana matatizo gani??

Mfano Job ndugai au Akina Mlimba na akina Msukuma sijawahi luona wanatembelea wananchi wao ana wana gundu?
Wana uhakika na tume itawapitisha
 
Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?

View attachment 1498667

Kwa kusifu vitu vya kijinga mnaweza ila kwenye mambo ya maana kwa taifa mnatukana na kupinga,
Sasa hapo tukisema amewaandaa hao watoto kama mnavyozoea kusema tutakosea?
Leteni sera za maendeleo ya nchi siyo mambo ya kitoto hayo.
Hao watoto kesho akipita mtu wa CCM nae watamshangili tu.
 
Saga wembe unywe.
 
Hiyo shule walimu wana kazi ya kujibu kwanini wameruhusu wanafunzi kushangilia Cdm
Kwanini wameshindwa kueneza sera ya Ccm?
Nawahurumia walimu!!! lakini siku zote huwa nasema huwezi kuficha moshi panapo waka moto.
Hahaa kamati ya roho mbaya. Ccm bwana.
 
Hiyo shule itafungwa na DC
hivi wewe unaamini kuwa hao ni wanafunzi .Hata uniform hawana wanafunzi gani hao? hata shule haijulikani

alichofanya hao aliwabeba na lori akawaweka hapo porini wafanye hilo igizo la ze commedy

chadema kwa usanii wana PHD
 
Utawasikia ooh chadema iko mjini tu. Cheki hapo ni porini kabisa hata mtoto wa miaka 15 anaijua chadema anajua Mkombozi ni Chadema.

Halafu mbona sionagi wabunge wa ccm walitembelea majimbo yao wana matatizo gani??

Mfano Job ndugai au Akina Mlimba na akina Msukuma sijawahi luona wanatembelea wananchi wao ana wana gundu?
Ndugai alikataliwa kwao mbele ya magufuli
 
Back
Top Bottom