Eti Rais mzima kabisa wa nchi nzima yenye idadi ya watu takribani milioni 50 anataka tumshangilie kwa kujenga daraja la kuvuka makutano la mita 500 tu?? Tena Ubungo na Tazara ambalo hata mwanachi wa Gongolamboto halimsaidii kitu chochote.Picha kubwa na picha ndogo....
Hiko kilimo nimekisikia toka uhuru hadi wakati wa nguvu kazi hadi sasa hakijawahi kumkomboa mtz...
Natamani kusikia uwekezaji kwenye kilimo uweje kwakuwa kugawa pembejeo ni ujamaa na ujinga unaomfanya mkulima ahamini kilimo ni jukumu la serikali.... (i might be wrong thou)
Magu kaamua kupiga pasi ndefu...
Maendeleo mtakutanayo mbele nchi inavyofunguka na kupitika..
Weka sukari mzeeChumvi nyingi, yaani imezidi.
Hakuna mpango mzuri wa kuendeleza kilimo hivyo kimebaki kama shughuli ya wananchi year after year ikitegemea ruzuku ya serikali... too much ujamaa...Kila mtu anajua CCM Mpya imetelekeza kilimo, inachokazania ni sera ya Maendeleo ya Vitu na siyo Maendeleo ya Watu mfano kilimo kinachogusa maendeleo ya watanzania wengi zaidi ambao ni watu waishio vijijini na ktk miji midogo.
Hiyo shule walimu wana kazi ya kujibu kwanini wameruhusu wanafunzi kushangilia Cdm
Wana uhakika na tume itawapitishaUtawasikia ooh chadema iko mjini tu. Cheki hapo ni porini kabisa hata mtoto wa miaka 15 anaijua chadema anajua Mkombozi ni Chadema.
Halafu mbona sionagi wabunge wa ccm walitembelea majimbo yao wana matatizo gani??
Mfano Job ndugai au Akina Mlimba na akina Msukuma sijawahi luona wanatembelea wananchi wao ana wana gundu?
Mtaji ni kuifia tu. Zamani wagombea walikuwa hawana mitaji ya fedha za kampeni kwa sasa ni kuimba nyimbo tu za mapambio NEC inatia tick tu.Wana uhakika na tume itawapitisha
Saga wembe unywe.Kwa kusifu vitu vya kijinga mnaweza ila kwenye mambo ya maana kwa taifa mnatukana na kupinga,
Sasa hapo tukisema amewaandaa hao watoto kama mnavyozoea kusema tutakosea?
Leteni sera za maendeleo ya nchi siyo mambo ya kitoto hayo.
Hao watoto kesho akipita mtu wa CCM nae watamshangili tu.
Hahaa kamati ya roho mbaya. Ccm bwana.Hiyo shule walimu wana kazi ya kujibu kwanini wameruhusu wanafunzi kushangilia Cdm
Kwanini wameshindwa kueneza sera ya Ccm?
Nawahurumia walimu!!! lakini siku zote huwa nasema huwezi kuficha moshi panapo waka moto.
Saga wembe unywe.
hivi wewe unaamini kuwa hao ni wanafunzi .Hata uniform hawana wanafunzi gani hao? hata shule haijulikaniHiyo shule itafungwa na DC
NEC ni shina la CCMMtaji ni kuifia tu. Zamani wagombea walikuwa hawana mitaji ya fedha za kampeni kwa sasa ni kuimba nyimbo tu za mapambio NEC inatia tick tu.
Kwa hiyo watu wote ni wajinga isipokuwa wewe? usinipangie cha kuaminihivi wewe unaamini kuwa hao ni wanafunzi .Hata uniform hawana wanafunzi gani hao? hata shule haijulikani
alichofanya hao aliwabeba na lori akawaweka hapo porini wafanye hilo igizo la ze commedy
chadema kwa usanii wana PHD
Ndugai alikataliwa kwao mbele ya magufuliUtawasikia ooh chadema iko mjini tu. Cheki hapo ni porini kabisa hata mtoto wa miaka 15 anaijua chadema anajua Mkombozi ni Chadema.
Halafu mbona sionagi wabunge wa ccm walitembelea majimbo yao wana matatizo gani??
Mfano Job ndugai au Akina Mlimba na akina Msukuma sijawahi luona wanatembelea wananchi wao ana wana gundu?