Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

Kila mtu ana mbinu zake.

Lakini ukweli ni kwamba ccm pasi na kutumia vyombo vya dola kuwasaidia tungeshawasahau muda mwinyi sana.
Lijuakali alieleza nani ana mbinu za kurekebisha matokeo kwenye uchaguzi...

Na alisema ilikuwa same game nchi nzima...

Na bado mkapoteza.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana..eti wanafunzi wamshangilia vibaya sana..hao wanafunzi ndio wapiga kura ? yani una mvuto wa kupendwa na wanafunzi..duuh
tunataka kusikia huko alikokua amefanya lipi la maana na huko anakotaka kwenda atawafanyia nini na sio kutuambia ameshangiliwa vibaya sana
 
CDM ni chama cha watu wote na kinapendwa sana sio kama ccm wanalazimisha kupendwa kwa kutumia majeshi na pesa.
 
hao ni wanafunzi au mama ntilie mbona uniform hawana? wala shule wanayosoma haijulikani ? chadema kwa usanii hamjambo.
Jipangieni tu cha kuona.
Baba yenu akipewa ukweli huwa anaona matusi sawa na anayotukana wengine mbele ya familia zao
 
Chadema ndio mkombozi wa kweli kwa waTanzania wote.
MaCCM yanajua hilo na yanahitaji kukombolewa.
 
Hilo somo gumu kwa CCM m Hili ndiyo tatizo LA CCM mpya,wanajifurahisha wao badala ya kuwasikiliza na kutatua Kero halisi za Wananchi.Sijui huwa wanaambiwa na nani kuwa tunataka Flyovers,Salander Bridge mpya,Stigler'Gorge wakati tuna Natural Gas ya Msimbati pale Tegeta?SGR wakati tuna TAZAR SGR,Central & Northern TRC rails are there perishing, why they collapsed in first place and who did?What measures did we take to those responsible??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…