Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 495
- 602
Yale yale ya Ka-flagNimeambiwa na watu ninaowaamini.
Huko kwa wenzetu ulinzi wao ni mara mia moja ya ulinzi wetu..Huyu mtu kwa viongozi wa Africa huwa anakuaga wa kazi gani? Mbona sioni viongozi wa nchi nyingine za nje ya Africa mwanajeshi akiwa amesimama nyuma yao muda wote?
Na kaanguka rais kaachwa mwenyewe bila mjeshi nyuma yake.Hakuna faida basi tuHuyu mtu kwa viongozi wa Africa huwa anakuaga wa kazi gani? Mbona sioni viongozi wa nchi nyingine za nje ya Africa mwanajeshi akiwa amesimama nyuma yao muda wote?
Naona umeisahau sababu moja muhimu... the clot shot. A sudden collapse is a very common scenario these days, especially in people from heavily vaccinated countries.Kitaalamu hii hali ya kudondoka ghafla inaweza kusababishwa na:
-sukari kushuka (hypoglycemia)
-presha ya damu kushuka (hasa kwa mtu anayesimama kwa muda au kusimama ghafla: orthostatic hypotension)
-matumizi ya aina fulani za dawa
-upungufu wa maji mwilini (dehydration)
-hali ya kihisia mfano hasira, maumivu, nk
-maradhi mengine kama vile matatizo ya moyo nk
Jamani🤣🤣🤣🤣Nimeambiwa na watu ninaowaamini.
Mbona hata bungeni, Ikulu au wakisafiri huko nchi zenye ulinzi mkubwa huwa anakuwepo kasimama nyuma ya Rais tu??Huko kwa wenzetu ulinzi wao ni mara mia moja ya ulinzi wetu..