Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia

Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia

Allianza kuzimia ndio akaanguka au alianza kuanguka ndio akazimia
 
Uwalisia uyo mtu ni mtu mzima, wawachie vijana kazi izo, tatizo wakishakua kweny nafac kuachi vijana ndo shida
 
Huyu mtu kwa viongozi wa Africa huwa anakuaga wa kazi gani? Mbona sioni viongozi wa nchi nyingine za nje ya Africa mwanajeshi akiwa amesimama nyuma yao muda wote?
Huko kwa wenzetu ulinzi wao ni mara mia moja ya ulinzi wetu..
 
Huyu mtu kwa viongozi wa Africa huwa anakuaga wa kazi gani? Mbona sioni viongozi wa nchi nyingine za nje ya Africa mwanajeshi akiwa amesimama nyuma yao muda wote?
Na kaanguka rais kaachwa mwenyewe bila mjeshi nyuma yake.Hakuna faida basi tu
 
Yan umeongea ukweli mtupu. Umefikiria jambo sahihi kabisa watu hawang,atuki alaf vijana hawana ajira
 
Kitaalamu hii hali ya kudondoka ghafla inaweza kusababishwa na:

-sukari kushuka (hypoglycemia)

-presha ya damu kushuka (hasa kwa mtu anayesimama kwa muda au kusimama ghafla: orthostatic hypotension)

-matumizi ya aina fulani za dawa

-upungufu wa maji mwilini (dehydration)

-hali ya kihisia mfano hasira, maumivu, nk

-maradhi mengine kama vile matatizo ya moyo nk
Naona umeisahau sababu moja muhimu... the clot shot. A sudden collapse is a very common scenario these days, especially in people from heavily vaccinated countries.
 
Huko kwa wenzetu ulinzi wao ni mara mia moja ya ulinzi wetu..
Mbona hata bungeni, Ikulu au wakisafiri huko nchi zenye ulinzi mkubwa huwa anakuwepo kasimama nyuma ya Rais tu??
 
Back
Top Bottom